Mzambuli911
Member
- Aug 25, 2020
- 15
- 15
Wakuu naomba msaada wenu
Nime design website kwakutumia WYSIWYG website development kisha nikaipublish kwa kutumia FTP katika 000webhosting service ili iweze kupatikana mtandaon lakini baada ya upload kuwa successful kila nikitype link ya hiyo site yangu napata blank page sioni kama nilivyo design inakua blank na nikiangalia ss sijui shida IPO wapi wakuu wangu kama yupo wakunisaidia nitafurahi 5000/= ya vocha ipo