Yap, mimi bila kukwaruza maneno naunga mkono kipengele cha 7, na kupendekeza muungano uvunjwe hauna maana yoyote hasa kwa Zanzibar,,,kila mtu achukue kilichokuwa chake,,,miungano ya kijinga, kitapeli na kihuni yameshapitwa na wakati,,,,kila mtu akamate chake.