Recent content by Mzalendojr

  1. Mzalendojr

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom bwana. Eti anatokea mtu anajitambulisha eti anatoka promosheni ya miaka 10 ya Voda. Eti wanagawa pato-bonus kwa wataeja. Naambiwa nimezawadiwa sh.laki tatu na sabini elfu (370,000/-). Nasubiri ziingie kwenye account yangu ya simu mpaka leo sijaiona. Vodacom hapo niwape jina gani. Kama...
  2. Mzalendojr

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Dawasco Dawasco Dawasco. Pls njoni hapa Boko Mbweni, Kituo Masaiti. Pindeni kushoto mkitokea Boko. Hapo sasa ni mwezi maji ya bomba yanatiririka sana. Bomba linavuja sana sana sana kama hamtawahi eneo lote la uwanja wa wazi litaakuwa bwawa. Harakisheni.
  3. Mzalendojr

    Rwanda salama?

    Ivi mhe huyo ana mda gani madarakani hajachoka tu?
  4. Mzalendojr

    Ukweli kuhusu Mradi wa NSSF wa Dege Beach Kigamboni

    Mleta mada hii pcccb ingemuunganisha ktk kesi zijazo ikitokea ili awasaidie polisi utetezi. Hopeless kabisa. Unatetea wahalifu. Au labda anafanya utetezi bila kujua
  5. Mzalendojr

    Mwigulu aduwazwa na wananchi kujifungia wakiogopa Panya Rodi

    Mbona wakati wa Augustino L. Mrema kulikuwepo makundi ya Sungusungu a k a ulinzi wa raia mitaani. Na hatukuona makundi hayo ya kihalifu yakifurukuta. Mheshimiwa Waziri yuko sahihi. Sisi tulinde maeneo yetu pia tuwakanye watoto wetu. Msije mkailaumu serikali. Waziri ametoa onyo , ushauri na...
  6. Mzalendojr

    Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    Wanamziki wengi wanabadili na kuishi na majina bandia. Mbona hawasumbuliwi? Kama labda elimu yake ingetiliwa shaka hapo tatizo. Dunia nzima imejaa watu waliobadili majina na bado wanafanya vizuri tu. Kama kuna lingine semeni. Ila swala la majina acheni fix.
  7. Mzalendojr

    Pokea salamu ndugu Zitto Zuberi Kabwe

    Usia mtamu sana. Mhe. Zitto usia huu kama kweli una ndoto ya kiuongozi chukua hatua, usia uwe rada yako au kioo cha kujitazama. Huu pia ni utabiri. Wanakupenda na wamekuona unafaa. Na mimi nakutakia kila la kheri.
  8. Mzalendojr

    Ni muda gani wa wastani kwa mke au mume kuoa/kuolewa baada ya mmojawapo kufariki?

    Kwa mmke miaka 3 inamtosha mtu kusahau au kupuuza kumbukumbu na hisia. Ila mme mwaka1.
  9. Mzalendojr

    Mtatiro: Lipumba alisaliti chama tangu zamani, alimsaidia Kikwete uchaguzi wa 2010

    Asitafutwe mchawi wa mgogoro. Iwe ccm, chadema , act au adc. Mchawi hapa ni ubabe wa Maalim na ubabe wa Lipumba. Kwa nini wasikae wasuluhishe yaishe? Lipumba kama vile Maalim ni viongozi wa kuchaguliwa. Dawa hapa wakubali yaishe wavute subira hadi 2019. Uchaguzi wa ndani unaokuja utaamua...
  10. Mzalendojr

    Nani atakuwa Mwenyekiti CHADEMA ngazi ya taifa?

    Wenyekiti wa kudumu kwa siasa mambo-leo ni Udikteta. Kama ilivyo hata Cuf. Chama hakiwezi kuwa na Mwenyekiti na Katibu Mkuu kisha hao hao wagombea wa Urais kwa miaka 20. Swali hivi hakuna wengine wanaofaa kuchukua nafasi hizo ama kugombea? Tusiwanyooshee vidole wengine tuanze sisi.
  11. Mzalendojr

    Tundu Lissu: Msajili wa Vyama uliikumbuka hii sheria kwenye Maamuzi ya CUF?

    Kwa sasa mgogoro unaofukuta hauhitaji sheria. Utatuzi wake ni kisiasa. Nashauri litafutwe jopo la Wazee wawaendee Maalim na Lipumba wakae chini wayamalize. Wenzao vyama vya upinzani wanashangilia na kuombea mgogoro uendelee kukizoofisha Cuf huku wao wakibaki imara. Ni mazungumzo pekee ndio...
  12. Mzalendojr

    Kwanini Rais Magufuli alimteua Kassim Majaliwa awe Waziri Mkuu?

    Post yako haina mantiki. Rudi ulale. Ukiamka ndipo kaa kwenye kibodi au kipad yako uulize moyo wako nini ipost.
  13. Mzalendojr

    Gavana: Baada ya muda mrefu, tumefanikiwa kupunguza deni la taifa kwa bilioni 96

    Hivi miulize tu: ni Rais yupi tuliyemtarajia angeweza kutupatia milo 2 au3 kwa siku? Mwenye jibu anipe niridhike.
Back
Top Bottom