Recent content by MzalendoHalisi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nchi jirani ya Burundi, iwekwe kwenye maombi kwa wale mnaoomba!

    Burundi shida nini? Wakubali tu kuwa mkoa wa Tz umaskini utaisha
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki na mafundisho: Simulizi mbalimbali za maisha ya watakatifu

    Na mimi mtakatifu babu yangu Mmatumbi mbona hatumkumbuki??
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hii Hapa Ndio Mikoa 15 Inayoendesha na Kuchangia Zaidi Uchumi Wa Tanzania

    Mtwara hakuna issue ni waswahili
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, unajua kinachoiliza Tanzania, nchi ya Rwanda, Malaysia, China na Singapore walifanya miaka 40 iliopita na wengine miaka 15 tuu? njooni tuyaone

    Kwa hiyo wewe unakubali wazanzibari milioni 2 wawe na wabunge 80 Dodoma na Dar ina watu milioni 6 kuwa na wabunge 14? Hii ndo katiba unaypopenda? Hapana!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atembelea Kiwanda cha Dawa na Zana za Kilimo Nchini Belarus

    Huyu sii anastaafu? Ni mchongo wa kula tu hela tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nilioyaona matossa -dar yanasikitisha

    Matosa ni wapi?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maeneo yaliyokatwa umeme, Dsm hii tuiiteje?

    Hadi Kimara yote hakuna umeme
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania inavyoweza kupiga Hatua Kiuchumi na kielimu

    Sawa uko sahihi! Angalia Mauritius nusu wahindi robo Waafrica na robo wazungu! Pia angalia Singapore nus Wachina nusu Malay! Haya mataifa yameendelea sana! Sisi tunawagopa wageni eti watachulua kazi za wazawa! Hata hapa Tz angalia aliko Mchaga pameendelea! TUSIWAOGOPE WAgENI WATATUPA MWANGA WA...
  9. M

    JamiiForums Tanzania 4 Bedroom House on 400sqm Plot Up to Roofing with Decra Tiles TZS 105M

    Nyumba nzuri! 105m ni pamoja na Plot? Hii ilikuwa 2015 sasa ni kiasi gani Mkuu!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Sita 2009

    Ha ha ha!! Alijaenda Chuo akapata First Class Sasa yuko Shirika Moja Kubwa Ana Kazi Nzuri! Tunamshukuru Mungu
Back
Top Bottom