Watu wengi bara hawautaki huu Muungano hii ni kweli! watu milioni 2 huwezi kuwaunganisha na watu milioni 68! Yaani ni ngumu Hawaii eti inaungana na Marekani je ni Muungano gani? Ni swala la muda tu Tz itakuwa nchi moja kwa nguvu au kwa hiari! Tambua wazanzibari laki tano sasa wako bara!
Hizi habari za Wamatumbi kuwa na akili zaidi kuliko Wachaga ni uongo ulio wazi! Mbona Wazaramo, Wakwere wote sasa hamefurushwa na makabili ya bara wamekibia njee ya jiji la Dar? Huu ndo utawala au ustaarabu?
Aliharibu sana Muungano taifa lina watu milioni 70 kuungana na watu milioni 2 na robo la bunge linatika Zazibari ni kosa kubwa sana alifanya huyu mzee!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.