I hope African leaders will address the unfriendly, inhumane treatment of employees in Chinese companies operating in Africa, which is not in accordance with the labor laws of African countries, rather than just sitting idly and waiting for thier paychecks
Tume ya Kamari ni chombo cha udhibiti kinachowajibika kwa kusimamia shughuli za kamari na kuhakikisha kuwa zinafanywa kwa haki na salama. Kuhusu wachezaji, majukumu yake muhimu ni pamoja na:
Kuhakikisha Haki na Uaminifu: Tume inahakikisha kwamba waendeshaji wa kamari wanakidhi viwango...
Vodacom sasa huu ni uwizi. Haiwezekani kumlazjmisha mtu kununua muda wa maongezi na kutishia kuifunga namba yake wakati mtu huyohuyo ananunu vifurushi kupitia M-Pesa.
Kama njia hjyo sio sahihi basi toeni hizo huduma za vifurushi kwenye Mpesa. Ili imlazimu mtu kununua salio. Salio la nini sasa...
MIe kama mteja wa muda mrefu wa Voda nimepata na ukakasi kidogo, ni hivi hawa jamaa mara nyingine unakuta deni limelipwa wao hawajakata, wanaendelea kulitambua deni na muda unafika wanakupiga fine.
Ukiwa unafuatilia utalijua hilo na bado watachukua muda mrefu kurekebisha bila ya kukurudishia...
Mie kama mmoja wa wachangiaji niliyeona adha ya NSSF nimeona ni wajibu wangu kupaza sauti labda anaweza tokea Kiongozi anayejitambua na kuamua kulibeba hili na kuwasaidia Wananchi wa Sekta binafsi wanaochangia Mfuko wa NSSF.
Shida wanazokumbana nazo Wachangiaji ni zifuatazo:
1. Ukiomba fedha...
NSSF na Serikali hawaongei lugha moja.
Serikali inataka watu wajiajiri lakini NSSF inataka watu waendelee kuajiriwa mpaka wakifika miaka 55.
Kwa mtazamo wangu mtu alitakiwa apewe 30% ya michango yake kama kiinua mgongo kimuwezesha kujishughulisha mwenyewe bila kutegemea tena ajira wakati bado...
Makonda nguvu yako inaitajika kwenye swala ukataji wa Umeme. Kama kweli unamoenda Mama msaidie kwenye ili awa jamaa wanamdanganya. Hawawezi wakawa wanakuja na sababu tofauti kila siku. Ni uwongo
Awa jamaa mie nadha nia na madhumuni ki kumchafua Rais Samia Suluhu na Doto Biteko. Haiwezekani Taasisi inasemwa kila sehemu kuanzia Bungeni, mitaani, kwenye mitandao, nyumba za ibada lakini jamaa hawajigusi wanaendelea na mgao kama kawa.
Na mie nasema wanafanya makusudi kwa kuwa atakuja mjinga...
Bodaboda wanafanya yafuatayo bila kukamatwa:
1. Hawasimami wala kupunguza mwendo kokote iwe njia ya makutano, zebra, ama gari linaingia barabarani na limeonyesha ishara ya taa.
2. Police hawasimamishi bodaboda ata kwa ukaguzi wa leseni,kwa kuendesha mwendo wa kupitiliza, kwa kutosimama zebra...
shida yetu ya umeme siku zote imekuwa ni Uhaba wa maji.
Leo hii tunapata mvua nyingi haijawai tokea lakini Umeme unaendelea kuwa Mgao kama kawadia.
Ni aibu sana. Natamani kujuwa wanufaikaji wa aya matatizo
Wamedharau maombi ya CCM na Viongozi wengine wote na wakijuwa kwa dhati yanatoka kwa Rais.
Bora wangewapa Waarabu TANESCO na sio Bandari.
Na wakawafukuza watu wote wa TANESCO, WOTE naamaanisha wote hasibaki ata dereva.
Sasa wewe ndio mmoja wa wasiojielewa ambaye unashindwa ata kujuwa "Power Fluctuation" alafu unasema wenzio.
WE MILEMBE INAKUHUSU.
Na unasema ongera CCM..? ( kama sio "JANI" linazungumza basi sijuwi nini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.