Recent content by MZALENDO TANZANIA

  1. M

    Vijana wazalendo kutembea kwa miguu kutoka Dar hadi Dodoma kumuunga mkono Rais Magufuli

    Habari wana jamvi, mimi AUGUSTINO CHIWINGA nimeamua kwa pamoja na vijana wenzangu kufanya matembezi ya kizalendo kutoka jijini Dar Es Salaam, hadi mkoani Dodoma yalipo makao makuu ya nchi yetu kwa miguu ikiwa kama ni njia ya kumuunga mkono mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  2. M

    Wakili Albert Msando akatwa katwa mapanga Dar

    Nimesikia amefumaniwa hiyo story ni ya kutunga tu ili ajisafishe kwa mkewe.
  3. M

    Mfuko wa Rais wa kujitegemea kuwakopesha vijana na kina mama 3000

    MFUKO wa Rais wa Kujitegemea una mtaji wa shilingi bilioni 1.3 kwa ajili ya kuwakopesha wanawake na vijana wajasiriamali wenye sifa. Mtendaji Mkuu wa mfuko huo, Haigath Kitala alisema hayo alipokuwa akizungumza na HabariLeo kuhusu lengo la kuwepo kwa mfuko huo. Kitala alisema shauku na malengo...
  4. M

    Lema akipona katika hili abadili mbinu zake katika siasa

    Kuna msemo maarufu sana duniani unaosema mwanasiasa aliyeshindwa ni mwanasiasa anayetafuta huruma ya wananchi bila sababu. Bila shaka mbunge wa Arusha mjini kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] Godbless Lema `anafit` sana kwenye maneno ya msemo huu. Lema ni mwanasiasa aliyeshindwa...
  5. M

    Hussein Bashe ameongozwa na chuki dhidi ya rais Magufuli na Serikali yake

    Wasalaam wana bodi, kama mjuavyo siku ya jana pale bungeni mbunge wa nzega mjini kwa mara nyingine alionesha chuki yake ya wazi wazi kwa Rais Mheshimiwa Dr. John Magufulina serikali yake kwa kusema kwamba hali ya uchumi ni mbaya hapa Tanzania. Alitoa data za kisiasa mwenyewe akaziita ni za...
  6. M

    Ben Saanane na kundi lako mnatafuta nini kwa Rais Magufuli mnapomzulia uongo?

    Anaaandika Augustino Chiwinga, Kwa miongo mingi duniani inafahamika kazi ya karatasi maarufu za kufutia kinyesi zinazojulikana kama toilet paper. Kwa mujibu wa utafiti uliofanyika huko nchin Marekani ulionesha kwamba toilet paper ndio kitu pekee kisicho hai kinachofanya kazi ngumu duniani...
  7. M

    Mchora katuni Kenya amemsifu au kumponda Rais Magufuli

    Mafisadi wa kenya wanamkimbia
  8. M

    Mke wa Mbunge wa Arusha kupelekwa kesho Mahakamani

    Makosa ya kimtandao....Lema kapata kiboko yake ..... Asante gambo
  9. M

    Mstahiki Meya Sitta, fanya uchunguzi huru kuhusu mikopo iliyotolewa na Boniface Jacob

    Habari wakuu, kwanza napenda kumpongeza meya mpya wa manispaa ya kinondoni mstahiki mheshimiwa Benjamin Sitta kwa kuweza kuchaguliwa kwa kishindo kua meya mpya wa manispaa ya kinondoni. Lakini napenda kumpa ombi langu moja kwamba afuatilie wale wote walionufaika au waliopata mikopo...
  10. M

    Salamu za pongezi kwa mheshimiwa rais John Pombe kwa kuweza kupandisha bei ya korosho

    Asante sana Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli kwa kuweza kupandisha bei ya korosho kutoka 1500 hadi 3700 kwa kilo. Bei hii haijawahi kutokea hapa nchini na hili limewezekana kupitia kwako Mheshimiwa Rais John P Magufuli. Hatua hii itaongeza tija kwa...
  11. M

    Hili la Arusha linahitaji mjadala mpana, ukisoma barua ya wafadhili utajifunza mengi

    Pokea salam zangu ewe mbunge wa Arusha mjini.Ulichokifanya siku ya jana hakika ni kama umejivua nguo, kwa kung`ang`ania upewe sifa ambazo hustahili. Hakuna asiyejua na dunia nzima inanjua kwamba ilikua ni ndoto ya siku nyingi ya wakili Nyaga Paul Mawalla kujenga hospitali kwa ajili ya wanawake...
  12. M

    Hi ndiyo love story usiyoifahamu katika siasa za Uganda kuisaka Ikulu

    Winnie mandela , winnie besigy ..haya majina ya kina winnie sio ya kuyaamin ht kidogo
  13. M

    Taarifa kwa vyombo vya habari, kufutwa kwa posho za mwenge ni uamuzi wa kishujaa na kizalendo

    Ndugu wana habari, na wananchi kwa ujumla habari zenu na poleni na majukumu yenu ya kila siku. Leo nimewaiteni hapa nikiwa na lengo moja la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa DR.John Pombe Magufuli juu ya uamuzi wake wa kuamua kufuta posho za sherehe za kuuzima Mwenge...
  14. M

    ZITTO NDIO AMECHANGANYIKIWA ZAIDI KULIKO CCM

    Siku ya tarehe 08/10/20016 kiongozi mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo ndugu Zitto Zubeir Kabwe alinukuliwa akimshambulia Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania DR.John P. Magufuli kua ni mbinya demokrasia na hafuati utawala wa kisheria. Hakuishia hapo akakishambulia pia na chama...
Back
Top Bottom