Mstahiki Meya Sitta, fanya uchunguzi huru kuhusu mikopo iliyotolewa na Boniface Jacob

Oct 12, 2016
15
42
Habari wakuu, kwanza napenda kumpongeza meya mpya wa manispaa ya kinondoni mstahiki mheshimiwa Benjamin Sitta kwa kuweza kuchaguliwa kwa kishindo kua meya mpya wa manispaa ya kinondoni.

Lakini napenda kumpa ombi langu moja kwamba afuatilie wale wote walionufaika au waliopata mikopo iliyotokana na asilimia 10 kutoka katika mapato ya ndani ya halmshauri.
Maana zipo tetesi kwamba vile vikundi vilivyopata mikopo ile vilikua ni hewa na kwamba havikusajiliwa bali vilikua ni magenge ya wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, ambao walikusanyana na kwenda kupokea mkopo kwa mbwembwe mbele ya macho ya macho ya waandishi wa habari. Meya aliyepita inadaiwa alitumia nafasi yake vibaya akiwa kama Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya fedha ,mipango na utawala kuwapatia mikopo ile watu wasiohusika.

Tunaomba ujuridhishe kama madai haya yana ukweli ndani yake ili uwatoe hofu wanachi na vijana wanaotegemea kupata mikopo hiyo pindi itakaporejeshwa na hao wakopaji wa awali, kwa sababu hadi sasa hivi benki ya wananchi wa Dar es salaam haijajapata rejesho la aina yeyote kutoka kwa wanufaika wa mikopo ile.

Naomba kuwasilisha.

AUGUSTINO CHIWINGA
0756810804
KADA CHAMA CHA MAPINDUZI DAR ES SALAAM.
 
uhuni unaofanywa na ccm unamatokeo mabaya sana kwa nchi hii kama akidi ya kikao haitimii halafu unaendelea na kikao kuna tofauti gani na wanakijiji kukamata mwizi na kumuua kwa kisingizio alikuwa kaiba huko kote ni kujichukulia sheria mkononi simply kwa kuwa wewe ni ccm,kuna ujinga wa aina hii mwingi tu kila mahali,hata bunge kujilipa laki tatu kwa siku kwa kuwa wao ndio wanaopitisha sheria nao ni uhuni tu. kumrudisha lipumba cuf na kumpa ruzuku ni uhuni tu,kufuta uchaguzi zanzibar na kuitisha mwingine ni uhuni tu, endeleeni na huu ujinga tuone kama tutafika mnatunga sheria halafu nyie ndo mnakuwa mstari wa mbele kuzivunja.
 
Huyu mhuni kama mwenyekiti wake hivi kuna meya wa kinondoni acha ujinga kapigeni mapambio mbofu mbofu ya forbe's mwenyekiti kazungukwa na matapeli hajieli kuna mtu alimwambia makonda he is his down fall
 
Anataka kufanya kama baba yake mzee Sita alivyoibaka katiba mpya huo ukoo ni wa kichakachuaji tupu, baba mwizi na mtoto mwizi.
 
Habari wakuu, kwanza napenda kumpongeza meya mpya wa manispaa ya kinondoni mstahiki mheshimiwa Benjamin Sitta kwa kuweza kuchaguliwa kwa kishindo kua meya mpya wa manispaa ya kinondoni.

Lakini napenda kumpa ombi langu moja kwamba afuatilie wale wote walionufaika au waliopata mikopo iliyotokana na asilimia 10 kutoka katika mapato ya ndani ya halmshauri.
Maana zipo tetesi kwamba vile vikundi vilivyopata mikopo ile vilikua ni hewa na kwamba havikusajiliwa bali vilikua ni magenge ya wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, ambao walikusanyana na kwenda kupokea mkopo kwa mbwembwe mbele ya macho ya macho ya waandishi wa habari. Meya aliyepita inadaiwa alitumia nafasi yake vibaya akiwa kama Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya fedha ,mipango na utawala kuwapatia mikopo ile watu wasiohusika.

Tunaomba ujuridhishe kama madai haya yana ukweli ndani yake ili uwatoe hofu wanachi na vijana wanaotegemea kupata mikopo hiyo pindi itakaporejeshwa na hao wakopaji wa awali, kwa sababu hadi sasa hivi benki ya wananchi wa Dar es salaam haijajapata rejesho la aina yeyote kutoka kwa wanufaika wa mikopo ile.

Naomba kuwasilisha.

AUGUSTINO CHIWINGA
0756810804
KADA CHAMA CHA MAPINDUZI DAR ES SALAAM.
Meya wa Kinondoni ipi?au Kinondoni yake binafsi? Lakini kama ni Kinondoni ya wananchi bado haijapata meya licha ya CCM kuhaha kuchakachua.
 
Ngoja tuendelee kusubiri kama kile kiwanda cha mbolea kitajengwa au ilikua muendelezo wa hadithi za ukawa!
 
Back
Top Bottom