Recent content by MZALENDO ORIGINAL

  1. MZALENDO ORIGINAL

    Rais Magufuli afanya mabadiliko: Amteua Ally Hapi kuwa RC Iringa; Jokate, Jerry Muro, Katambi wawa Wakuu wa Wilaya

    Mtapata tabu sana kila kitu ni kupinga mbona mlikua na sheria nchi mliitafuna
  2. MZALENDO ORIGINAL

    Cheo cha Mkuu wa Wilaya kimepoteza thamani na heshima

    Mwacheni akafanye kazi akharibu ataondolewa uzuri JPM hana rafiki na wazembe kazin.Awe alikua anafanya mambo ya umalaya kama amebadilika na ana uzalendo anafaa kibaya ni kua na kiongozi mwizi mpiga dili.Hao wasomi na wazee tunaowataka sisi ndo waliotufikisha hapa wamefanya mambo ya ovyo ya...
  3. MZALENDO ORIGINAL

    Mbowe: Masha hakuwahi kuwa na msaada wowote CHADEMA

    HAPANA MBOWE ALICHOSEMA NI KWELI MASHA ALIKUWA HANA MSAADA WOWOTE KWA CHADEMA YA SASA SIO CHADEMA YANGU YA ZAMANI YA DR SLAA MANA YA SASA LAZIMA UITUKANE SERIKALI,MTUKANE JPM,MASHA HAKUA ANATUKANA NDO MANA ANAMBIWA HAKUA NA MSAADA WOWOTE
  4. MZALENDO ORIGINAL

    CHADEMA ni sikio la kufa? Iambiwe vipi ili isikie? Masha ana hoja za msingi, zisikilizwe, zizingatiwe, zisipuuzwe!

    ILA KWELI HAPO NI RUZUKU AISEE WATU WANAPIGA HELA KWA MIGONGO YETU KWELI RUZUKU IKIFUTWA KUNA MTU ATAANZISHA CHAMA
  5. MZALENDO ORIGINAL

    Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!

    HAKUNA KITU KAMA ICHO MASHA AMEONA WAPINZANI WAMEPOTEA HAWANA HOJA YA MSINGI ETI BASHITE NDO HOJA YA MSINGI MTU ANAKOMAA NA BASHITE BADALA YA KUSHUGHULIKIA KERO ZA WANANCHI.
  6. MZALENDO ORIGINAL

    Ni wakati wa wanachadema kumuelewa Dr. Slaa na kumuwajibisha Mbowe!

    Tumekuelewa mkuu heri wewe unalijua ilo sasa hivi hicho chama ni dustbin mafisadi papa utawakuta umo CCM ikitapika fisadi CHADEMA wanapokea wanasema tumepata jembe
  7. MZALENDO ORIGINAL

    Rais Magufuli aagiza kubomolewa kwa Makao Makuu ya TANESCO na Wizara ya Maji, kupisha ujenzi wa barabara Ubungo

    ACHENI USHABIKI ILO JENGO LILITAKIWA LIBOMOLEWE ZAMANI SIO MAMBO YA SIASA
  8. MZALENDO ORIGINAL

    Tanzania inarudi nyuma (retreat) kwa nia njema maana tulikuwa tumepotea

    NI KWELI KABISA KIONGOZI UKIGUNDUA UMEPOTEA NJIA NA UMESHATEMBEA KILOMITA NYINGI,UONI HATA DALILI YA KUFIKA,INABID URUDI ULIKOTOKA.KURUDI ULIKOTOKA KUNA GHALAMA YAKE,NA MAUMIVU LAZIMA UVUMILIE NA KAMA ULIKUA NA WATOTO WATAAKUPIGIA KELELE WATAKUAMBIA UNATUSUMBUA BABA WAO HAWAJUI KWAMBA...
  9. MZALENDO ORIGINAL

    Wanaodai Serikali Haijafanya kitu huwa wanamaanisha nini?

    UKO VIZURI UMENENA YA UKWELI IWAPO SINA CHAMA
  10. MZALENDO ORIGINAL

    CHADEMA ya sasa haina haiba ya kunywa juisi ya Ikulu, Siasa za Magufuli ni za level ya kimataifa!

    Kweli kiongozi nakuunga mkono JPM ana mapungufu kama binadamu na sio malaika lakini mapungufu yake hayana athari kwa wananchi asa wanyonge,wanaopinga ni wale waliokuwa wamezoea vya bure.kwanza JPM anapenda EQUALITY majizi na mabinafsi hayapendi na ndio yanayomchukia,yalitaka hela zetu sisi...
  11. MZALENDO ORIGINAL

    CHADEMA ya sasa haina haiba ya kunywa juisi ya Ikulu, Siasa za Magufuli ni za level ya kimataifa!

    Heri wewe unajielewa na inaonekana wewe ni mzalendo wa nchi hii big up!!!
  12. MZALENDO ORIGINAL

    Hakuna haja ya kusumbuka na Rais Magufuli, Hakuandaliwa huyo

    Ni kweli hakuandaliwa kuwatetea majizi na kuwalinda wazungu ili waendelea kutwibia madini yetu,ulitaka tuwape majizi urais waendelea kututesa walala hoi na wewe na maswaiba wako muendelea kupiga dili na kusafiri nje?au ulitaka serikali ya kupiga dili ili wapinzani wapate mtaji kwa udhaifu wa...
  13. MZALENDO ORIGINAL

    Upinzani wa Tanzania iko wapi demokrasia ya Kenyatta

    KIONGOZI UTAKOSANA NA WATU MIMI NAONA TANZANIA TUNAITUMIA VIBAYA DEMOKRASIA,DEMOKRASIA YETU INARUDISHA MAENDELEO YA NCHI.
  14. MZALENDO ORIGINAL

    Nyalandu kufa kisiasa kama Lowassa na Lembeli

    Mwenzako anakimbia kesi ameenda kujificha, kule upande wa pili ni wazuri wa kubadilisha gia angani na wanaweza kumtetea kama waliwatetea wa Richmond na wazungu waliotwibia madini yetu wengine wakadiriki hata kuwa mawakili wao wa kisirisiri akawe nyarunda
Back
Top Bottom