Recent content by mzalendo namba moja

  1. mzalendo namba moja

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chivayo, aliewahi kufungwa jela kwa utapeli na forgery kakimbia na vibubu kabla ya marejesho, kafoji ajali kuanza maisha mapya ughaibuni

    Ya daudi balali na Jakaya, nasikia Daudi balali alifanyiwa face transplant na yuko hai hata leo😁😁😁😁.. conspiracy buana, mengine acheni yapite, watagundua FBI
  2. mzalendo namba moja

    JamiiForums Tanzania First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

    Ni balaa sana.. kenyewe kana wenge sio poa, sasa kama mtu hajiamini and you know the reason, kwa nini usirekebishe confidence yake?..weka mwanaume sawa, jieleze wewe ni nani, unataka nini, tafuta kumfahamu kwa undani kwa dodoso technical, mwambie tu hufanyi ngono kwa first date, sikiliza msimamo...
  3. mzalendo namba moja

    JamiiForums Tanzania First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

    Sema una Ego pia.
  4. mzalendo namba moja

    JamiiForums Tanzania Mabango ya kuwaka gharama zake huwa zipoje

    Njoo Dm, Mimi ni Printer na mtaaaamu wa mabango hayo.. Uko wapi?
  5. mzalendo namba moja

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalamu wa IT mbobezi nataka tufanye kazi

    Ni Dm tuongee
  6. mzalendo namba moja

    JamiiForums Tanzania Je, Huu Ni Mwisho wa Ushirika wa CHADEMA na Wanaharakati?

    Alafu mambo ya kike kweli,.kwani kueleza kuhusu passport yàke tu bila kumhusisha Heche angepungukiwa nini?
  7. mzalendo namba moja

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Samia kukaa mapumziko ya Eda siku 90

    Ni balaa..mama anaenda Eda
  8. mzalendo namba moja

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda George Desmond Kamurasi Named New King of Tooro Kingdom

    They hv played fouls..The king had the heir and everyone knew
  9. mzalendo namba moja

    JamiiForums Tanzania Voices From Within: Makamu Rais Mstaafu, Dr. Nchimbi Yuko Salama !Hajazuiliwa wala Hashikiliwi!Ni Yeye Mwenyewe Ndiye Ameamua Kutulia Kimya!

    Aaah kaka paschal.. Nadhani sauti zako kuna Nyakati hupaswi kuziamini sana, zinakupotosha na kutupotosha vilevile😁😁😁😁 Unakumbuka zilikuambiaga "2025 mpango ndio mpango nzima" na zikakusaliti😁😁🙌🏽🙌🏽
  10. mzalendo namba moja

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu wa kike anataka nimuoe, je tutakua tumefanya maamuzi sahihi?

    😁😁😁, it's not for love, lkn u seem being her last choice, the choice of failure...be keen, ndoa si kitu cha kukiendea kwa Nadharia, ikiwa hisia hazimatch, subiri kwanza... I had one friend of mine, hivyohivyo..nilimkatalia akatakata na alinielewa...ndoa si sehemu za kufanya majaribio aseee...
  11. mzalendo namba moja

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Leo Mahakamani 03 September, Shahidi wa tatu Aman Sam Golugwa anaendelea kutoa ushahidi wake

    Duuh!! Ripoti ya Thabo Mbeki kuna mwenye nayo tuanze kujisomea?
  12. mzalendo namba moja

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri - 2, Septemba 2026

    Golugwa si mtu wa details, lakini atawasilisha kile atawasilisha..ushahidi mzito ulikuwa kwa JJ
  13. mzalendo namba moja

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri - 2, Septemba 2026

    Sa hizi watu wameanza kuflow na propaganda za mitandaoni, eti story za Ishengoma ndio zinatumika kama sehemu ya dodoso😁😁😁🙌🏽🙌🏽, sema anayewaagiza Hawa jamaa, sijui tu..... Ni kama pumzi imewakata hivi, majaji nao kimyaaa
Back
Top Bottom