Kati ya vituo 5 vilivyohesabiwa CDM 56 wakati CCM 536... bado vituo 9. Bendera zote za Chadema zimeshushwa na wao wamekimbia mjini hapa hawapo kabisa.....
Matokeo mengine soon nayaleta hapa ya kata zingine lakini hali ya Chadema ni kama wako ICU...
Hakika Nape anawamaliza magwanda Arusha.... Chuki anayoipanda dhidi ya CDM na watu wake ni kubwa sana. Nape kaeleza jinsi Chadema na viongozi wao walivyoleta laana Arusha.
"Takwimu zinaonyesha jinsi utalii ulivyoshuka jijini Arusha, lakini kushuka huko kulivyoathiri uchumi wa mkoa, nchi na...
Nimeshangaa sana leo nilikuwa mkutano wa CDM kata ya Kimandolu ghafla nikaona kundi kubwa la vijana wanasukuma gari, kuangalia kwa karibu nikaona gari la Nape linasukumwa na vijana wanaimba "Lema byebye"! Nikaambiwa Chalii wa CCM ameingia mjini kuja kumzika Lema! Mkutano wa Chadema ukavurugika...
Hivi na mashog..nao mnaruhusiwa kuchangia humu?!!!! Haaah basi tumeingiliwa!! Hivi Mishy alishakwambia kuwa aliposikia we shog** alikukataa?!! Babu yangu anadawa ya ushog** njoo nitakupa kijana mzuri unakuwa bwabwa?!!!!
Nimemsikiliza Nape kwenye TV leo bilashaka ule ugomvi wao haujaisha...na sasa nadhani umekolea zaidi..nimesoma hii press release yake hakika anampiga Mmsai. Swali langu nani atashinda vita hii? Daudi au Goliath?....
*Adai ni vibaraka wa mabeberu kuvuruga nchi
*Awafananisha na nguruwe mwenye tabia la kula watoto akiwa na njaa.
*Ataka watanzania kuwapuuza
*Amuumbua Tundu Lissu
*Atetea mchakato wa katiba nchini
Bashir Nkoromo, May 05, 201 | 3DAR ES SALAAM, Tanzania
Chikawe amemuumbua Tundu Lisu bungeni jioni hii kwa kutoa ushahidi kuwa Bw. Beatus Kipeya ambaye Lisu na Chadema wanadai kuwa alienguliwa na WDC ya Sombetini asiwe mjumbe wa baraza la katiba la kata kuwa ni mjumbe halali na hivyo kuthibitisha kuwa Tundu Lisu na Chadema anajaribu kulidanganya...
Kwa uongo na uzushi alioandika na kuusema Mchungaji Msigwa bila aibu bungeni leo juu ya sakata la ujangili nchini, hakika uchungaji umedhalilika sana! Kwamba hata wachungaji wanaweza kusema uongo mchana peupe na bila aibu!!!!!! Ndo maana tumekuwa tukiwashauri siasa si mchezo wa kuchezwa na...
Kudadadeki! Leo Nchimbi waziri wa mambo ya ndani kawadadavua CHADEMA kwa kuwaumbua kwa hotuba yao ilivyojaa uongo na uzushi.
Kawaumbua sana leo na kwakweli hii ni aibu ya mwaka!
CHADEMA wanahaha kugawa pesa kwa kila mwandishi hapa Dodoma Bungeni ili kubeba stori itakayosomwa na Mchungaji Msigwa kesho kwenye hotuba yake yenye kurasa 42 ambayo toka ukurasa wa kwanza mpaka ukurasa wa 42 amemtaja Kinana kama kiongozi wa genge la majangili wanaovuna meno ya tembo nchini...
Aibu tupu, hii inathibitisha kuwa wamekuwa wakisomba watu na sasa hela za kuwasomba hao watu zimekata kwa hiyo ni kwenda kichwakichwa ili angalau kuambulia posho a.k.a ruzuku. Gazeti la Mwananchi hawawezi kutoa picha kama hizi zinazoonyesha udhaifu wa chama wanachokiunga mkono kama ilivyo gazeti...
Lakini wakuu,
Jambo baya sana linaloinyemelea demokrasia nchini ni kifo kibaya cha CHADEMA. Nasema kifo kibaya kwasababu kitavunja moyo sana wanaharakati wengine wanaona yalianza kuonekana matumaini lakini sasa kama na hawa nao wameishia njiani basi HAIWEZEKANI, itavuruga sana demokrasia nchini...
Kwanza ni ujasiri baada ya muda mrefu wa kujaribu kuudanganya umma kwamba vita hii ilianzhswa na CDM, kukiri hadharani kwamba HAPANA ilianza siku nyingi kabla hata ya misingi ya CDM haijafikiriwa ni ujasiri mkubwa! HONGERA ZIPUWAWA!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.