Recent content by Mzalauliwa

  1. Mzalauliwa

    DOKEZO Jeshi la polisi, Nyarugusu Mkoa wa Geita kunatisha matukio ya kutisha

    Kuna kazi zingine ukiingilia mwanainchi huna uwezo nayo, sasa kwa matukio kama hayo viongozi hao akina Veo wangeitisha mkutano mkubwa na kujadili lakin yoto hayo hayatendeki Wako bize na dhahabu bro wana dili na business zao hasa Utafutaji wa madini
  2. Mzalauliwa

    Ujue mchezo wa aviator au kindege na siri zilizojificha nyuma yake

    Ulichokiongea ni kweli kabisa, hasa kwa upande wa betPawa kuna wakat watu wanatolewa kwenye system unaambiwa time out na ume stake pesa yako kabisa kwa mda mapema tu Ila kuna watu wanatisha katika mchezo huo kwa kuweka madau makubwa yaani mtu a naweka stake ya 300,000 juu Chini anaweka 250,000...
  3. Mzalauliwa

    DOKEZO Jeshi la polisi, Nyarugusu Mkoa wa Geita kunatisha matukio ya kutisha

    Jeshi la polisi Tanzania hasa ngazi ya juu, Nyarugusu Geita kunatisha kwa mauji ya watu kuchinjwa. Nyarugusu Geita ni kata Ambayo inapatikana mkoa wa Geita wilaya ya Geita vijijini wakazi wake wengi wamezungukwa na sehemu kubwa ya uchimbaji wa madini. Shughuli zake kuu za watu kujipatia...
  4. Mzalauliwa

    Kwa hili janga la umeme nahisi sasa watanzania wameelewa Magufuli aliposema yeye ni Rais wa wanyonge

    Hamna mtetezi jeshi nalo lipo kimyaaa Mbona wenzao wa burknafaso watu wamewafurahia sana kushika madaraka
  5. Mzalauliwa

    Hii hali huwa inasababishwa na nini, au ni uchawi?

    Hapo hakuna Cha sayansi Wala Nini huyo ni mchawi anapenda kuja kukuchezea Tena ni mchawi wa kike, Hiyo hutokea hivi usiku wa manane ukiwa bado unausingizi mzito ndipo huja yaani wewe unakuwa umechoka kitendo Cha wewe kuhisi kitu kimeingia ndani ndipo wewe hupoteza nguvu zote anakufanya...
  6. Mzalauliwa

    Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

    hii nchi hii ni ngumu sana, hivi kwa sura aliyonayo inaonesha kabisa ana sponsor mzee aliyeko bungeni
  7. Mzalauliwa

    Nini dawa ya muwasho sugu sehemu za siri?

    Badilisha na Aina za boxer uvae boksa zile za tetron acha na za pamba boxer pana zipo mtumbani
  8. Mzalauliwa

    Ndoa yangu imetengenezwa mbinguni, nafurahia sana

    Mungu akiwakutanisha hata kwenye tendo la ndoa mnaenjoi Mwanamke anakojoa haraka
  9. Mzalauliwa

    Green Card kumbe ni kweli aisee tucheze hii kitu

    Kwenye garama lazima ukimbie
  10. Mzalauliwa

    SoC02 Michezo ya kamari inavyoathiri ukuaji wa uchumi kwa vijana

    Kamari ni mchezo wa kubahatisha unaohusisha pesa au kitu kingine chenye thamani kama tuzo kwa mshindi. Tuzo hilo la kubahatisha ndio lengo kuu la mchezo. Sheria za nchi mbalimbali zinatofautiana kuhusu uhalali wake. Asilimia kubwa ya washiriki hasa katika mchezo huo ni vijana ambao wanakuwa...
Back
Top Bottom