Recent content by Mystic

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mume HIV+ anahitajika

    Pole, sio tu kuguswa, lakini wapo ambao nao wanahitaji mke wa aina yako
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba mwenye sifa hizi

    Umenijibu vizuri.... Kuwa nao kusije kukukumbusha yalopita bureee!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nusura inatafutwa

    Jamaniii! kavurugwa vip kwa swali lake?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba mwenye sifa hizi

    Unaweza kutujuza sababu za kuitoa Tanga?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Iam positive

    Kumbe sio wote ni baadhi ya watu!!! Kushindwa kuelewana mbona huweza kutokea kwa namna mbalimbali!!!
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MMU LADIES: Si kila mwanamke ameumbwa kuolewa

  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu, Mpenzi wangu amekutwa na maambukizi ya VVU

    Asante! Hope uko katika kada hiyo
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usifanye kosa hili kwenye kuoa

    Wote ambao hawakutoka kwa wazazi wametoka geto? geto ni wapi?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanaume mwenye VVU

    Naomba kwanza nimtakie kila la heri muanzisha mada. Maisha ni safari ndefu; hakuna mwenye uhakika wa wakati, mahali, na namna atakavyo maliza safari yake........
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanaume mwenye VVU

    Inawezekana vipi wakaishi kama couples na tofauti zao kiafya? maambukizi...! mipaka katika mahusiano...! n.k
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu, Mpenzi wangu amekutwa na maambukizi ya VVU

    Kuna ukweli hapo?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanaume mwenye VVU

    natamani kupata maelezo zaidi hapo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Qatar

    Duh!......
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Qatar

    Hata nami nimeguswa na hii thread, lakini wewe unagusa na wengne...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Updates kuhusu mkutano wa tanzania graduate bank.

    date/day, time, & place ya kukutana hiyo next week...?
Back
Top Bottom