Recent content by mymer

  1. M

    Kuna diploma holder yeyote kapata mkopo had sasa

    Kwani si washaasemaa hawatoi mkopo kwa diploma holders
  2. M

    Kwa walioko KCMC

    Kwende admission letter wameandika kuwa mtu awe registered within two weeks yakuanza semester, ambavyo inavyokneka two weeks zinaisha ijumaa... sasa kamaa mtu kachaguliwa third round akija jumatatu anaweza pokelewa....
  3. M

    Kwa walioko KCMC

    Kusoma au ni registration tu
  4. M

    Kwa walioko KCMC

    Samahanini wakuu nilikuwa naomba kujua kwamba kwa waliochaguliwa kcmc je masomo yashaanza, kama yashaanza yameanza lini kwa MD..
  5. M

    Magufuli ndiye Rais anayechochea matabaka kuliko Rais yeyote wa Tanzania

    Wapo wengi tuu... halafu nyie mnafikiria course za arts ambazo nyingi hazina ada kubwa japo kwa masikin hiyo ndogo pia kwwake ni kubwa hebu fikirieni course za health.. amba vyuo vyingine unalipa kama 6m times miaka mitano.. plus hela ya kula time miaka mitano... plus evrything times miaka...
  6. M

    Magufuli ndiye Rais anayechochea matabaka kuliko Rais yeyote wa Tanzania

    Its true wengine wanasoma shule kubwa zenye maada makubwa lakin ni kwwa ufadhili au pengine ni kwa sababu mzaz wake anafanya kaz kwenye shule ile..
  7. M

    Sijachaguliwa na nina GPA ya 4.0

    Hiv inawezkana mtu kuenda kuapply chuoni halafu wao wakapeleka jina tcu.. tcu wanaweza kubali
  8. M

    Wasiwasi wa siasa kwenye GPA 3 kwa waombaji wenye diploma

    Halafu haawatizam gpa peke yake kuna baadhi ya course wanataazama na matokeo ya form six... kwa mtu awe principle angalau mbili laakin hiyo ni kwa baadh ya course na Baadh ya vyuo
  9. M

    Wale wa Diploma kwenda Degree 2016, kuna aliyechaguliwa tayari?

    Me too nimeapply tcu na vyuo vyote sijaona jina n kwenye profile wameniandikia qualification found ila chuo hola
  10. M

    HUBERT KAIRUKI MEMORIAL UNVERSITY

    Unauliza au unatoa taarifa? Samahani lakin..
  11. M

    Matokeo ya Kidato cha Nne ya Paul Tundu Lissu

    Mbona hutokea jina la msichana likaingia kwenye list ya wavulana au la msichana likaingia kweny list ya wavulana
  12. M

    Ni kuhusu nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi wa serikali

    Kitu hicho hakiwezkan kwanza maisha yanapanda... hilo ni wazo langu tu...
Back
Top Bottom