Recent content by Mylz Jr

  1. Mylz Jr

    Siku ya kwanza baada ya kula mzigo

    Not necessarily
  2. Mylz Jr

    Mwanaume yamenifika naomba ushauri kama Watanzania wenzangu

    mm ushauri wangu, kwanza kabsa muombe sana Mungu kabla ya yote pili, inabidi umwambie huyo mwenzako matendo alioyoyafanya yote aliyoyafanya unayajaua na ushahidi unao, nasema hvyo kwasababu mtu akijua kosa kama bado dhamira yake iko hai basi kitamuuma sana na atajirekebisha, mwisho kabsa mm...
  3. Mylz Jr

    Ushauri: Tabia ya mke wangu kunidharau inaniumiza sana

    i have been thru the same shit twice ,na nilifanya approach uliotumia ww ingawa mm sikusafiri au kubadili namba nilichofanya nikusitisha tu mawasiliano kabsa, kwahyo mm na support kabsa hatua uliochukua, hawa wanawake wa sasa jman tuwaone tu hvi sio watu kabsa, unamchukua mwanamke hana kitu...
  4. Mylz Jr

    Michepuko inaniacha na kunirudia

    achana nao tunza familia yako na uwapende.
  5. Mylz Jr

    Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Vip kuhusu walio apply kwa mara ya pili majina yao tunawezaje kuyapata kutumia hii system ya loan board?
  6. Mylz Jr

    Zijue faida za Kiafya za Kitunguu Swaumu (Garlic) Featured

    je vitunguu vinasaidia kuongeza nguvu za kiume au? tafadhali naomba unijibu. nashukuru
  7. Mylz Jr

    Kupendwa raha jamani

    dats not true ,,,give evidence ,,kama huna basi ni uwongo huo
Back
Top Bottom