Recent content by mylife

  1. mylife

    Tuhuma za upikwaji wa takwimu za UKIMWI dhidi ya MDH zisifumbiwe macho

    Mtoa taarifa, taarifa yako iko shallow sana. Toa takwimu ambazo MDH na washirika wake wamezipika nasi tuanze kufuatilia ama kuchangia zaidi kuanzia hapo. Vinginevyo hizi zitabaki kuwa tuhuma tu kama umbea wa salon za akina mama.
  2. mylife

    Matarajio ya Ukuaji wa Uchumi wa Tanzania 2020

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mylife

    Nifanyeje niache tabia ya kujitenga na watu?

    Sasa unachat na nani kama si rafiki? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mylife

    Polisi wakihakikisha Usalama wa katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara

    Kwani hao ni green brigade? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mylife

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Wanakosa pesa ya mafuta! Is this achievement?
  6. mylife

    Hatima ya RC Makonda mikononi mwa wabunge wa CCM

    Duh, wengi walifanya kama yeye... ila ulikosa support toka kwenye mkono wa amri yote ni sifuri... tujifunze kwa kaka yetu Yesu Kristo.
  7. mylife

    Wanawake wenye watoto waliotelekezwa wafurika ofisi za Mkuu wa Mkoa Dar Paul Makonda kushitaki

    Hivi kweli hii si kudhalilishana! Ina maana hawa wote walikuwa wana do na travellers/explorers?
  8. mylife

    Diwani amcharukia Magufuli: Hakuna Mwananchi atakayefyeka bangi kwenye kata yangu

    Labda mie ndo sijamuelewa mwenye bandiko lake. Anachopinga hapa ni kuwachukuwa wanakijiji wote kwenda kwenye mashamba ya bangi yaliyobainika na kuyafyeka kwa umoja wao. Anakiri kuwa hili jukumu ni la jeshi husika. Nahisi yuko sawa. Labda tu biti limekuwa kali.[emoji1]
  9. mylife

    Cyprian Musiba: Kikundi kinachotekeleza mauaji kinatoka CHADEMA chini ya G. Lema. Ningemfunga Mbowe miaka 200

    Ingependeza angetoa taharifa kwa waheshimiwa wa usalama wa taifa walishughulikie hilo kundi. Sidhani kuyasema kwa waandishi wa habari italeta impact yeyote. Unless anataka kuionnesha dunia kuwa ana uwezo mkubwa kuliko wenye mamlaka yao ambao ni usalama wa taifa. But anyway, hope wahusika...
  10. mylife

    Kama hutaki kuwaongoza watu wewe unataka kutawala zingatia misingi ya utawala bora na uwazi

    Davet, mtu mzima hung'amua mambo pasi shuruti. Unamtaka Pascal sasa aseme yapi zaidi ya hayo aliyoandika? Usimuwekee mwenzio maneno mdomoni mwake.
  11. mylife

    BAKWATA na Waislamu wengine, kila kitu kinachofanywa na Serikali kiko sawa kwenu?

    Wanasubiri mwezi mtukufu wa Ramadan
  12. mylife

    Dodoma: Vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama, wafanya Zoezi la Utayari

    Ili kupata idadi tajwa hapo juu pande zote mbili zicheze fair game tuweze kuona kati ya hao 55m wangapi wanasapoti upande gani...
Back
Top Bottom