Recent content by mykile

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

    Huyu anataka kutangaza nia ya kugombea Ubunge, wala sio kuhama Chama.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Ardhi nzuri kwa kilimo cha Mitiki inapatikana Kisarawe kama Km 50 kutoka Buguruni.Bei inaanzia laki nane kwa eka moja.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Merry Christmas and Happy, prosperous New Year 2013

    Mwaka 2013 tujenge uadilifu ktk majukumu yetu ya kila siku. Tuondoe chuki na mifarakano isiyo na tija hasa pale tunapokuwa na maoni na mtizamo tofauti. Heri ya mwaka mpya wapendwa wote.
Back
Top Bottom