Huu ni utetezi hafifu mnooo....jipange tena uje na hoja madhibuti. Ushatembea kwenye nchi za watu au uko bongo tu ndugu?...ziko airports zenye zaidi ya miaka 50.....kinachotofautisha ni utamaduni wa matengenezo...na hili ndo tatizo Tz ktk kila nyanja.
Post sent using JamiiForums mobile app
JF ilikua miaka ileeeee kabla smart phones hazijamilikiwa na kila kapuku. Enzi zile issues zililetwa zikajadiliwa kwa kina ...wachambuzi wakaleta facts supported na data. Wasiokua na uelewa walikaa mbali wakajisomea tu. Siku hizi itashangaa kila mtu anajitia kuchangia hata ktk issues...
Tuseme ukweli tu. Artists wengi wa TZ hasa bongo movie na music elimu yao ndogo sana. Walitambue ombwe hilo walilizibe kwa kwenda shule!
Tazama Nigeria, south africa, Kenya na kwingineko wana vyeti...madigrii na madiploma ..
Hawa wa Tz ni longolongo tu na kujishebedua.
Tofautisha Mutual Assistance MOU na Convention Against Corruption iliyotumika kurudisha pesa ya Abacha. JF wakati mwingine inatumika kama uwanja wa watu kukurupuka hata kama mtu hajui anachokitetea au kukipinga.
Inapendeza pale tutakapokubali kujishusha ikiwa hatujui kitu ili tufunzwe na wenye...
Tatizo la watz wengi ni wivu wa kijinga....
mke wa Lukuvi yuko toka enzi za ATC..acha ATCL!...Kipindi hata hatumjui Lukuvi wala magufuli. Ina maana mlitaka aache kazi? Mkuu naye hakupaswa kumsema bila kuchunguza. Kwakweli nilishangazwa sana na kijembe cha mkuu wa nchi kuhusu wake wa mawaziri...
Tuweke siasa pembeni jamani tuende kisheria. Kwa walioingia mikataba mibovu ya kuwawezesha watuibie ni nani..si ni serikali tena ya ccm? Sasa basi iingie akilini kwamba itakula kwetu kama inavyokula kwetu ktk mkataba wa TANESCO. Tuache mahaba ya kijinga ya vyama. Tuangalie maswala technical ya...
Wataachaje kushindwa ikiwa toka mwanzo kuna makosa? Kushinda kesi ni pamoja na kuwa na basis of claim na maandalizi madhubuti.Kesi nyingine inabidi serikali ikubali makosa badala ya kwenda kuaibika mahakamani.
R u kidding?
IFM alikua anacheza makidamakida?
Msiwe mnaweweseka ovyo kwa msiyoyajua. Inaelekea kuna watu wanapenda sana kuongea bila kujua kitu. Mimi nimesoma naye so namjua vema.
Kwanza jiulize....hata kama hakusoma kwa mfano....hizo analysis anazofanya basi he is a genius! "Angesoma" tena...
Omg!
Tatizo linatokea unapochanganya maamuma (ignorant people) na wenye taaluma a.k.a wasomi. JF ni uwanja unaowakutanisha hawa bila hiari. Miaka ya nyuma kabla ya kila mtu kuwa na smartphones zenye access to internet, JF ilikua na mashiko katika mijadala mbalimbali. Siku hizi ni balaa tupu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.