Recent content by Myelife

  1. Myelife

    Chama cha Mapinduzi chapita bila kupingwa Jimbo la Hai

    labda kama kuna Moshi nyingine sio ile ya Kilimanjaro, ambayo hata mwalimu nyerere alipingwa uchaguzi wa mwaka 1958. je unaongelea kilimanjaro au Kongwa acha masihara.wamepita bila kipingwa au wamenyimwa form. weka wazi
  2. Myelife

    In need of a simple Accounting software

    unaijua QUICK BOOK, Je utahitaji, nitafute nikupe bure maana nataka hii nchi iendelee. na pia sihitaji hata 100 maana kuna watu wanaweza kuiona hii km fursa. nipo DSM
  3. Myelife

    Mlioacha kazi za kuajiriwa na kujiajiri wenyewe nahitaji msaada wenu

    why you guys mix up investment asset and turnover. those are quite different stuffs. your house is asset/ investment, your salary at the end of the year is annual turnover.
  4. Myelife

    Mlioacha kazi za kuajiriwa na kujiajiri wenyewe nahitaji msaada wenu

    instagram account Simplified Engineering
  5. Myelife

    Mlioacha kazi za kuajiriwa na kujiajiri wenyewe nahitaji msaada wenu

    services, consultation, contract and sales of parts.
  6. Myelife

    Mlioacha kazi za kuajiriwa na kujiajiri wenyewe nahitaji msaada wenu

    nimetizama kwa makini sijaona sehem nilipochanganya je? unaweza kunisaidia ni sehem gani? nami ni binadam
  7. Myelife

    Mlioacha kazi za kuajiriwa na kujiajiri wenyewe nahitaji msaada wenu

    mkuu, nakuomba take from me, kujiajiri mwenyewe kunalipa balaa fanya maamuzi na usiangalie nyuma, unatakiwa kuwa na sifa chache tu muhimu. yaani moyo wa simba, speed ya swala na kulijua soko lako. i mean be a visionary, be patient, know your customer, know your product and know the Industry...
  8. Myelife

    Natafuta wanahisa kuwa nao katika kampuni ya Engineering

    Ndugu wanajamvi, nina kampuni ya Electromechanical kulingana na changamoto nilizopitia nimeona ni jambo zuri na wakati muafaka kupata wanahisa wengine kutoka popote pale katika uso wa dunia. Watu ninao hitaji ni shart wawe na sifa kuu 2. wawe wanaweza kufanya kazi kwa mikono yao na wawe na...
  9. Myelife

    Kampuni nyingi za Wachina unakuta Ni share ya watu hata 500

    mkubwa yaani hii yako nimekutana nayo live sijui umeijuaje mzee. watz kwa visingizio ni balaa
  10. Myelife

    Jinsi ya Kusajili Kampuni ya Ujenzi (Building and Civil Contractor)

    hiki kitu watu wengi hawajui, kumiliki.kampuni ya ujenzi ni km kumiliki gari, sio lazima kuwa dereva ndiyo umiliki gari, ila kumiliki gari ni sharti liwe na dereva atakae endesha, pia kampuni ya ujenzi yeyote anaweza mili ila ni lazima awe na Engineer. mfano Rostam anamiliki Caspian, lakini...
  11. Myelife

    Pesa sio mtaji au kichocheo namba moja katika kuanzisha biashara

    Wanajamvi salaam. Nimeona kama kuna uwezekano wa kuunganisha mawazo, na rasilimali na kuwa na kiwanda kidogo ambacho kitakuwa kikimilikiwa na watz kama 10, bila kuzidi. kuna msingi ninao na ninaufanya mtaji tena mkubwa, mimi ni mshauri wa viwanda vingi hapa nchini. na pia nimeshiriki sana...
  12. Myelife

    Chumvi ya Neel (Neel salt) ni biashara ya nani?

    hii ni mali ya Mfanyabiashara wa muda mrefu sana katika Ardhi ya Tanzania, anamiliki hotels, metal factory, vinywaji na biashara nyingine nyingi, sasa ana neelcanth cable, anaitwa Subash Patel
  13. Myelife

    Ni nani hasa alimuua Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Bwana Robert Ouko?

    Kwa nyongeza ni kuwa Moi alikuwa Mbunge wa kawaida, akawa makamu wa raisi akiwa mbunge kwa miaka 13, akawawa Raisi kwa miaka 24 akiwa bado ni mbunge, na akatoka madarakani akiwa mbunge. hivo kofia yake ya ubunge kaitumikia kwa miaka 40.
  14. Myelife

    Ni nani hasa alimuua Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Bwana Robert Ouko?

    ufafanuzi, miaka yote Moi aliyopata kuwa Rais, pia alikuwa mbunge kutoka kwa kabila la Kalenjini yaani jimbo la Pokoti Magharibi, hapo awali katiba ya kenya ilimruhusu Rais kuwa mbunge, na katiba ilimzuia Rais kuvunja Bunge, na kama akifanya hivo naye pia atakuwa sio Rais tena. Kimahesabu ktk...
Back
Top Bottom