Recent content by myao wa tunduru

  1. myao wa tunduru

    Peter Msechu afanye mazoezi la sivyo atakuja kulia lia kama Stamina

    Anajifariji sema wewe ndo hujamuelewa
  2. myao wa tunduru

    Happy birthday Mtume na nabii wa mwisho wa Soka Saint Gaucho

    Heri cheleweshi ya kumbukizi ya uzao wa fundi mburudishaji wa soka ronaldinho gaucho mtu pekee aliyefanya vinjino vionekane urembo akitabasamu
  3. myao wa tunduru

    Malegend mpo?

    Mbio tu za kilimwengu ila now nipo sana
  4. myao wa tunduru

    Malegend mpo?

    Subiri nipite hapo nikapate upako
  5. myao wa tunduru

    TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

    Hapo mwenyewe umejiona bonge la mjanja sio!
  6. myao wa tunduru

    Malegend mpo?

    Kitambo sana mitaa hii ya JF..mwanangu Gang chomba yupo bado?mtu mzima Kiranga?miaka kama kumi hivi aisee!dah
  7. myao wa tunduru

    RONALDINHO atangaza kutundika daluga, ninakushukuru kwa niaba ya Dunia

    Gang Chomba popote ulipo swahiba njoo utie neno hapa...akizungumziwa dinho mimi kutia neno wakati upo ni kuwakosea heshima wapenzi wa huyu kiumbe pekee aliyeweza kuongea na mpira na mpira ukamsikiliza
  8. myao wa tunduru

    Juventus Special Thread

    hakuna kitachotuzuia kubeba ndoo labda fainali ingekuwa home and away kidogo mechi ingetiwa ugumu na marefa ila kwa kuwa fainali ni moja tu kilichomkuta dada mtu real madrid na mdogo wake wa kike barcelona kitamkuta hikohiko...ni mwendo wa kuwazimia fegi wale vigoli wao madoido kina messi...
  9. myao wa tunduru

    Juventus Special Thread

    ancelloti amekiri kama pirlo aliwavuruga sana pale kati kwani jinsi alivyokuwa akicheza alisababisha viungo wake waache sana nafasi hivyo juve kuwa huru kushambulia.....halafu uzuri pale olympic stadion tuna upepeo napo (tushaingia fainali mechi ya marudiano ni kukamiisha ratiba) kwani mwaka...
  10. myao wa tunduru

    Juventus Special Thread

    mabeki wa kitaliano si unawajua vizuri lakini au?....muulize fundi wa mpira zizzou au ngiri suarez!....max allegri hupangaga ukuta wa mabeki watatu ila kwakuwa nyie wabishi tuliongeza level moja jana wakawa mabeki wanne...sebuleni kwenu kwakuwa mtakuwa mnapigiwa vigelegele na mke tunamtaka...
  11. myao wa tunduru

    Juventus Special Thread

    mwanangu chomba hizo hufananisha na dhambi.....kipawa cha fundi pirlo huwa havipatikani mara kwa mara!vipaji kama vile huzaliwa kila baada ya miaka hamsini au inaweza hata hiyo miaka hamsini ipite kisizaliwe kipaji kama kile.....kabla huyo mtoto hajaanzisha huo ilibidi akamuulize carlo ancelloti...
  12. myao wa tunduru

    Juventus Special Thread

    viande wa kabumbu wanaanza kushobokea dundo la buluda.....wakati wajuzi wa mambo tulishajua kitambo kama madrid kukutana na sisi ndio baba jeni bye bye!.....kamba ya morrata ilizalishwa na pasi 27 za kibaba!haijawahi kutokea msimu huu wa klabu bingwa ulaya!yaani sasa hivi juve tunashinda na...
  13. myao wa tunduru

    Waingereza wamesaka ushindi na wameukosa

    ukiwa hai usikose kuwaangalia bianconeri wakinyanyua ndoo hiyo tarehe 6 june mwaka huu pale Olympiastadion,Berlin Ujerumani....mwaka huu ni kimyakimya!....jana tumecheza kwa discipline sana!tunarudisha heshima ya calcio!yule morata mtu mbaya ana kasi ya umeme!sioni wa kumzuia ulaya ya...
  14. myao wa tunduru

    Bikra_wa_kisukuma

    hata kama maisha yake siyo perfect ila suala la mtoto wa kiume kumegwa halihitaji ushauri wa hekima....angebakwa kweli ila kama anamegwa kwa kukubali hiyo haikubaliki popote pale
Back
Top Bottom