Recent content by myalijr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Gari iliyobeba bangi yapata ajali Pwani

    Ist inabeba mzigo kg 7500 which is equal to 7.5tones?? Humamayuuu nyieee
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tuwe na sheria ya kudhibiti uvaaji wa mavazi Tanzania

    Dressing code is part of culture kuwabana kwenye mavazi kutaongeza personalities zao and it will be a starting point of rising their values kuliko ilivyo hivi sasa they turn to a commodity cause we get no access of evaluating their ideas simply because they discomfort our minds by exposing their...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kila mnapozidi kumkosoa na kumtaja rais Magufuli, ndipo mnapozidi kumpa jina

    Wakereketwa wake wangekua wavumilivu km critism zinampa umaarufu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wepesi wa kupeleka flash disk TAKUKURU v/s Kigugumizi cha kumpeleka dereva wa Lissu polisi

    Dereva angehusika moja kwa moja asingekuwepo upande aliopo ukumbuke Lissu yu hai bado
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania kwanini tunakubali Rais wetu adhalilishwe na media za nje kwa kuitwa "The 'Bulldozer' Tanzanian President"?

    Lile swali ulilomtwanga jpm siku ile ikulu uliotea nini mbona siku hizi huchanganui vitu [emoji13] [emoji13] [emoji13] ?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wepesi wa kupeleka flash disk TAKUKURU v/s Kigugumizi cha kumpeleka dereva wa Lissu polisi

    Dereva is coincidental witness watuhumiwa hawajakamatwa usalama wake uko wapi?then he suppose to be suspected toka lini mtuhumiwa au shahidi akatafutwa kwa kupitia media?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lema amjibu Sirro sakata la dereva wa Lissu ahoji walinzi wa kwa Lissu, askari polisi wa dr Kamani/Tullia washahojiwa?

    Police watafanya nini sasa km98% tukio linavinasaba vya siasa tena za kimilengo ?? Report ya tukio inatekwa na aliefanya tukio
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

    Uchumi unatengenezwa miaka mingapi tako wewe[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji41]
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

    Gharama za maisha zinazidi kuongezeka everyday hata tuongeze juhudi vipi salary haitakuwa na tija mwambie a control price fluctuations ili hata asipoongeza salary isiwe gumzo
  10. M

    JamiiForums Tanzania DC Mnyeti: Nilichangia mchango wa harusi diwani aliyehamia CCM kama ambavyo nimekuwa nikiwasaidia madiwani wengi CHADEMA

    MNAPATA WAPI UJASIRI HUU WA KULINDA UCHAWI NA WACHAWI KWEUPEE?? MI NILIDHANI HUU NDIO WAKATI WA KUMSHAWISHI JPM KUCHUKUA MAAMUZI YA KIMAMLAKA NA KUACHA VYOMBA HUSIKA VIFANYE KAZI YAKE ILI SIFA YA UTUMISHI ULIOTUKUKA IBAKI PALEPALE KAMA ANAVOJIPAMBANUA?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

    True say aiseeeh self and I can't do so halafu unampga kanzuu nanii? Rugeyamu !hujipendi wewe utabutuliwa kama kawaidaa mpaka ufe
  12. M

    JamiiForums Tanzania MAJANGA: Tanzania kuilipa kampuni ya KONOIKE zaidi ya Sh. Bilioni 133 baada ya kushindwa kesi mahakamani!

    Kwani kipindi hicho waziri alievunja mkataba na hawa jamaa alikua nani
Back
Top Bottom