Recent content by My struggle

  1. M

    Chief Kalumuna wa CHADEMA achaguliwa kuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba

    hahahahahhaaaaaaa......!!!! ekyowakola kilimanywa omwatani.. you have make my day.
  2. M

    CCM na refarii aliyepoteza kadi na filimbi

    atapiga makofi...
  3. M

    Mbunge GODBLESS LEMA akutana uso kwa uso na MAGESA MULONGO

    nimeipenda hyo. Mwisho wa siku jogoo atabaki kuwa jogoo na tembe atakuwa tembe. Tupia still na mnato mkuu tuwaone hao digidigi walivokusanyana.
  4. M

    Bungeni: Hivi ni utaratibu wa kikanuni kwa spika kuamuru mawaziri kujibu kwa kifupi?

    tatizo ni uchama unatawala zaidi ya uzalendo(utaifa). Tz tutaweza kusonga mbele siku tukitambua kutenganisha hivi vitu viwili. Vinatukwamisha sana kufikia malengo jaman. Kiti cha Ana Makinda hakiangalii nini kimesemwa ila kinaangalia nani kasema. Hilo ndo tatizo kubwa. Ila Jogoo awike au asiwike...
  5. M

    CCM yamwaga Mamilioni kuivaa CHADEMA; Watu wasombwa kwa malori

    wadau wa jamii forum natumai mko pouwaaaaa!!!!!!!!! Ebwana leo niko maeneo ya tabata kinyerezi.huku ndo kwanhiho za maendeleo yanacvhipuka na vigogo wengi wa seririkali mamelangua mahekali ya aridhi ya kutosha tu. any way siyo mada yangu ila ninachotaka kuzungumzia hapa ni namna ninavyo ona...
  6. M

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    hahahahahahahaaaaaa,!!,,,!!! Mbavu sina ndugu hilo nalo neno.
  7. M

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    its like niko nje kidogo na hizo newz ndugu ebu nijuze kidogo juu ya hizo mambo.
  8. M

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    mr mie naona chama cha cdm kisianze kupanic cz mimi nina wasiwasi na akili ya huyu jamaa so called "shibuda" kwanza sijui hilo jina lina maana gani bado nalifuatilia cz kwetu uhayani huwa tuna msemo wa "EIBALA LIBI LTA NYINALYO" na wazungu wanasema "a bad name kills its master" labdajina lake...
  9. M

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    ni mtazamo wako tu ipo siku nawe utakivua gamba na uvae gwanda. na siku hiyo ndo utakuwa umekombolewa rasimi kifikra. ombi langu kwachama cha cdm siku hiyo utakapokombolewa,kadi wakupe bule.
  10. M

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    mheshimiwa shibuda ni kiumbe mdogo sana kwa watu makini kama wana cdm kumjadili ni kumpaisha na kumtangaza kwa watz wasomjua kwa ujinga wake. Yule ni shushushu wa gamba tatizo hajui kufanya kazi alotumwa kwa ufanisi na hivyo bas mpaka dis tym yameshahshinda. Cdm ni jahazi imala kamwe haliwezi...
  11. M

    Bila CCM madhubuti upinzani imara nchi yetu itayumba...

    Kidumu ili iweje toa maelezo ya ziada
  12. M

    Udom na ombwe la itikadi za siasa mpaka lini?????????????????????????

    Ndugu wana jamii forum naom ba tusaidiane katika swali langu hili labda kwasababu jf ni mtandao makin na wenye wachambuzi makin pia sina hofu tutasaidiana katika hili. Leo hii nazungumzia chuo kikuu cha Dodoma Chuo ambacho kimejengwa kwa sifa kubwa na nin chuo kikubwa Tanzania,Africa mashariki...
  13. M

    Kikao kati ya CHADEMA na Serikali (Ikulu) chaisha, makubaliano haya hapa!

    :violin:MAMBO SI HAYO!!!!!!!!!!!!!!!!!! KIKWETE MSANII TU.
  14. M

    Kikao kati ya CHADEMA na Serikali (Ikulu) chaisha, makubaliano haya hapa!

    Ndugu swali lako gumu haliitaji majibu mepesi. Ila noinachoweza kusema nikwamba serikari ya tz ni sawa ya mfalme juha. Na si vingnevyo.
  15. M

    Kikao kati ya CHADEMA na Serikali (Ikulu) chaisha, makubaliano haya hapa!

    Du!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! this is amazing. mi ctaki kukubali kwamba chama makini [CDM] kilienda ikulu kwa Jakaya kwa cku mbili then wawe na makubaliano mawili tu. kama ndo hayo bas watakuwa wameshindwa jazi na wao itabid sisi wenyewe twende ikulu kujitaftia muhafaka wa katiba mpyya tz...
Back
Top Bottom