Chief Kalumuna wa CHADEMA achaguliwa kuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, kwa mara ya kwanza tokea tupate Uhuru, manispaa ya Bukoba imepata meya kutoka upinzani ambaye ni Diwani wa Kata ya Kahororo. Kabla ya kuhamia CHADEMA, Chief Kalumuna alikuwa diwani wa Kahororo kupitia CCM.

Chief Kalumuna amemshinda mpinzani wake kwa kupata kura 13 na Almasoud Kalumuna wa CCM kupata kura 10.

attachment.php
 
Attachments

  • Kalumuna.jpg
    Kalumuna.jpg
    18.1 KB · Views: 4,547
Kwa manufaa ya wengi, kwa unyenyekevu mkubwa na mapenzi makubwa tunampongeza meya wetu. Tunaomba ka CV kake hata kama ni nusu kurasa.
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, kwa mara ya kwanza tokea tupate Uhuru, manispaa ya Bukoba imepata meya kutoka upinzani ambaye ni Diwani wa Kata ya Kahororo. Kabla ya kuhamia CHADEMA, Chief Kalumuna alikuwa diwani wa Kahororo kupitia CCM.

Chief Kalumuna amemshinda mpinzani wake kwa kupata kura 13 na Almasoud Kalumuna wa CCM kupata kura 10.

attachment.php

Wote ni Kalumuna?
 
Back
Top Bottom