Recent content by My Name is J

  1. My Name is J

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri, nimefilisika baada ya kuoa!

    Mambo yatakaa vizuri Piga moyo konde
  2. My Name is J

    JamiiForums Tanzania Kitu gani umewahi kujiapiza hutofanya lakini mwishowe umefanya tena?

    Kumpenda To yeye Nimemzimia kabisa
  3. My Name is J

    JamiiForums Tanzania Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

    Nina hizo sifa. Unanisaidiaje?
  4. My Name is J

    JamiiForums Tanzania Hizi kazi akiwa nazo mwanaume anaweza kula tunda hadi kusaza bila kuhonga ama kutumia gharama ndogo sana

    Ngoja nianze kukaanga chips basi au? Inachukua muda gani kuanza kula tunda?
  5. My Name is J

    JamiiForums Tanzania Taafikiane hili kwanza

    Mwanaume hashikwi kika sehemu
  6. My Name is J

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akiwa hivi mimi Hoi

    Sifa zote ninazo, Kama tu ulikua unataka kunizungumzia mimi kijanja
  7. My Name is J

    JamiiForums Tanzania Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

    Dada angu kwa busara upo juu
  8. My Name is J

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaotongoza wanawake kwa kigezo cha avatar mnaenda kupigwa na kitu kizito kichwani

    Hawajui ukweli. We waache tu wajiongopee
  9. My Name is J

    JamiiForums Tanzania Ni drama, ni uhalisia ama ni kuchafuana? Nani yuko nyuma yake

    Nitulie kwanza. Vita ipo kweli wala sio utani
  10. My Name is J

    JamiiForums Tanzania DONGE NONO kutolewa kwa atakae fanikisha kupatikana kwa Mbwa HUYU

    Huyu ni pitbul Hatari huyo
  11. My Name is J

    JamiiForums Tanzania Licha ya uzuri na elimu, dada yangu hapati mwanaume wa kumuoa

    Kweli kabisa, nilichoona kwa wanawake wengi hasa wa umri huo wa kuolewa wanaangalia sana mwanaume mwenye kipato fulani. Bahati mbaya sasa hivi mambo magumu vijana wenye vipato vya kueleweka ni wachache mno
  12. My Name is J

    JamiiForums Tanzania Licha ya uzuri na elimu, dada yangu hapati mwanaume wa kumuoa

    Tunapoelekea ndoa zitakua ngumu sana, vijana hawathamini tena ndoa.
  13. My Name is J

    JamiiForums Tanzania Napata wapi mtu wa kuongea naye?

    [emoji123] umesema kweli
  14. My Name is J

    JamiiForums Tanzania Zanzibar nimeangalia sherehe zenu za Mei Mosi nimesikitika sana

    Zenj maisha magumu?
  15. My Name is J

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la Mfululuzo wa Matatizo ya Uwanja Wa Benjamin Mkapa: Ubinafsishwe kwa Sekta Binafsi

    Swali ni kipi tumebinafsisha kikafanya vizuri?
Back
Top Bottom