Recent content by MY EYES

  1. MY EYES

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Nini kilicho kufanya uulize.
  2. MY EYES

    JamiiForums Tanzania Jambo gani ulilowahi kulifanya kila ukikumbuka unajuta

    Kujifanya mbele za watu nacheka kumbe nalia
  3. MY EYES

    JamiiForums Tanzania Jambo gani ulilowahi kulifanya kila ukikumbuka unajuta

    Duuu 🤣 🤣 🤣
  4. MY EYES

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu msaada kwa 1xbet nikidepost kwa mpesa ya tanzania itakubali kama hivyo au itagoma wakuu
  5. MY EYES

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Thank mkuu imetikiiiii
  6. MY EYES

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Mhhhh
  7. MY EYES

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu wako wa karibu anakwambia nini katika hatua kama hii?

    Mie unambia usijali hicho ni kitu rahisi sana muda ukifika utapata,namshukuru sana.
  8. MY EYES

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi mchumba Wangu Ataniletea mikosi

    Cha maana na cha kuangalia katika miezi saba hiyo ukupata mkosi wowote, anakupenda wampenda na ni mtu wa muhimu sana kwako jaribu kuangalia ni wanawake au wanaume wangapi ambao wapo wazi kihivyo kuelezea maisha yao yandani kabisa ni wachache sana,yeye kukueleza hayo inamaana amekuamin sana kama...
  9. MY EYES

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    🤣 😄 ;)
  10. MY EYES

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Samahan mkuu iyo sehemu ya time kwenye betpawa naipataje au ndio hakuna
  11. MY EYES

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    du sikujua kama itakua hivyo da niliweka 50 nilifikili itakua kama nilizo jaribu humu ila sh 8 si mbaya
  12. MY EYES

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu ipo sure nimpangie hapa kwa dau ambalo litanipooza kidogo
  13. MY EYES

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwani hakuna mbinu nyingine tofaut na hiyo
  14. MY EYES

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wakuu hivi bet hizi zikoje kila nikijarbu kucheza nikiweka kapesa ka maana napigwa ila nikiweka visent nala ambavyo hata siwezi kutoa,nifanyeje wakubwa walau nami nimpige huyu jamaa.
  15. MY EYES

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Du pole ila nayo yatosha maana angepigwa angelia mwenyewe.
Back
Top Bottom