Recent content by my crush

  1. M

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Funza

    😃 naamini anatania
  2. M

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Funza

    We mwenyeji? Unajua kitu kuhusu hii?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Funza

    Ukioza.. 😃 aah.. sijui mie
  4. M

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Funza

    Kweli hauna maana.. ila huu sijaona masharti magumu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Funza

    😂😂 Sasa si ndo uchawi wenyewe sasa.. tungekuwa tunajua procedure tungeshafanya
  6. M

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Funza

    Amani iwe nanyi. Katika pita pita zangu huko TikTok, nikaona "anonymous member" mmoja anaelezea utajiri wake ambao kwa sasa hana amani nao na hautaki tena. Binafsi (sijui ni njaa) sijaona kama ni mbaya, au sijaona mateso hapo. Naona ni kama tuu kazichoka pesa, amezimiss shida. Ok, wenyeji wa...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi

    [emoji91][emoji91] CASE CLOSED [emoji119]
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msanii Jaiva wanawake wanampendea nini?

    😂😂 Daaah 🙌🙌
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msanii Jaiva wanawake wanampendea nini?

    Aweeee.. Igama la minguu JAIVAH weee Huyo mtoto kaniona wakati nmependeza, Kaona dorime ya mitungi juu ya meza, Ananiangalia huku macho analegeza, Nami nampimia akijitusu natembeza (×2) Nikamwambia hapa mitungi BURUDA, Washa hata kitu BURUDA, Na kama sio kesi, kama uko fresh hapa hata mikasi...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ngono ndio chanzo cha umasikini wetu wanaume

    [emoji23][emoji23][emoji119]
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu ndio nipo single kwa miaka 24 au Ndiyo nimefanywa niwe kama mfano kwa wengine

    Una miaka 24 tangu kuzaliwa au tangu uwe single?
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kazi ya pesa ya mwanamke ni kufanya nini?

    Upande wa jamaa inaonesha ni wa Chuga (unategemea akupe hela kweli [emoji2957] labda akununulie pombe) aisee me sijawahi kuwaelewa ma-home boys. NB: Swali la hela ya mwanamke liache, hela yake ni yake. Ila according to the chat, jamaa kazingua. Mdada akaona atoe ya moyoni [emoji16] Em tuone...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kazi kwenye Casino

    Sipo DSM ndo maana.. anyways, thanks.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kazi kwenye Casino

    Labda hujanielewa, nimesema CASINO please. Sijasema kingine.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kazi kwenye Casino

    Ssa ntampataje huyo mtu mkubwa
Back
Top Bottom