~ Funga mfumo wa gesi asilia kwenye gari lako
~ Mfumo wako wa petrol au diesel uliopo hauondolewi unabaki
~ Kwa Mtungi wa kilo 15 gesi asilia unaogharimu shilingi 22,500 unatembea kilomita 200
~ Chaguo litakuwa lako kutumia mfumo wa gesi au petrol/diesel uwapo safarini.
GARI LAKO SASA...
Picha: Mapishano ya Barabara (Ubungo Interchange) yafikia patamu, Dar es Salaam kuiaga foleni rasmi, mradi huu ni matokeo ya maamuzi ya Rais mzalendo Mhe. Dkt John Magufuli katika kuimairisha miundombinu ya Barabara nchini.
Mradi unagharimu kiasi cha Tsh Bilioni 188.71
Hii ni Awamu ya Kazi
Dkt Augustine Mahiga alizaliwa Agosti 28, 1945 huko Tosamanganga, Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa (atatimiza miaka 75 ifikapo Agosti mwaka huu). Amesoma elimu ya msingi katika shule za Serikali enzi ya mkoloni na alihitimu darasa la VIII muda mfupi baada ya uhuru. Safari ya elimu ya Dk Mahiga...
NA. GULATONE MASIGA
+255738969820
masigag1987@gmail.com
Mwananchi kutoka Moshi
Tangu uhuru Tanzania imekuwa na rada moja tu ya kuongozea ndege iliyonunuliwa mwaka 2002 ambayo hata hivyo uwezo wake umepungua kutokana na mabadiliko yanayotokea kwa haraka katika sekta ya usafiri wa anga. Hii...
The Arizona Researchers Chasing Herbal COVID-19 Treatments
~ ANTHONY WALLACE
While the world awaits a man-made coronavirus vaccine, Valley-area researchers are scrambling to uncover a more natural and controversial type of treatment: herbal remedies.
Arizona State University and the Southwest...
ZITTO AGALAGAZWA NA MAWAKILI WA SERIKALI MAHAKAMANI LEO
Yah: Shauri la kikatiba kati Zitto Zuberi Kabwe Dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, AG, CAG na Profesa Assad kuhusu kutomwongezea muda Profesa Assad kuwa CAG.
Baada ya majibizano ya kihoja kati ya Mawakili wa serikali...
Nani kasema hatuungi mkono mapambano ya Corona, tatizo lako umebeba roho ya kwanini serikali itekeleze mradi mkubwa kama huu!!!! Kazi inaendelea na tahadhari ya Covid-19 inafanyika pia
Sent using Jamii Forums mobile app
KWANINI MRADI WA UZALISHAJI UMEME WA MAJI BWAWA LA NYERERE MTO RUFIJI NI MUHIMU?
Mradi huu unatarajia kuzalisha megawati 2,115 za umeme hatua ambayo inaelezwa kwamba itasaidia kupunguza tatizo la nishati hiyo muhimu kiuchumi na kijamii hapa nchini. Wasomi wanaeleza kukamilika kwa mradi huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.