Zitto afuta shauri la kumuongezea muda Prof. Assad kuwa CAG

My county

Member
Aug 6, 2016
22
60
ZITTO AGALAGAZWA NA MAWAKILI WA SERIKALI MAHAKAMANI LEO

Yah: Shauri la kikatiba kati Zitto Zuberi Kabwe Dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, AG, CAG na Profesa Assad kuhusu kutomwongezea muda Profesa Assad kuwa CAG.

Baada ya majibizano ya kihoja kati ya Mawakili wa serikali wakiongozwa na Gabriel Malata Naibu Wakili Mkuu wa Serikali dhidi ya wakili wa Zitto aliyekuwa akiungwa Mkono na mawakili wa Profesa Assad, baada ya kuelemewa kihoja na Mawakili wa Serikali Bw. Zitto Zuberi Kabwe ameondoa shauri mahakamani au kuweka mpira kwapani

Habari ya leo tarehe 23/4/2020.

Hapa kazi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada unafurahi wakati unaibiwa? Awamu hii umeibiwa 1.7 bilioni kama hajui habari ndio hiyo
IMG_20200127_223831.jpg
 
Back
Top Bottom