Recent content by mxuma

  1. M

    JamiiForums Tanzania Asilimia 88 ya vijana (umri 30 - 35) hutegemea wazazi na mashemeji

    Shida wanapenda kukaaa sana mjini wengi wanakimbilia DAR, MWANZA na kwingineko huku fursa zikiwa kijijini wanaziacha
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar mnasikitisha kwa kushindwa kuthibiti maovu katika jamii

    Chipsi na fursana afu vyote huvimalizi unakula robo na kunywa fursana kama nusu kwa nini panya road na scorpion wasiwasumbue
  3. M

    JamiiForums Tanzania UDOM first year 2016/2017 Tukutane hapa

    Karibuni sana UDOM wanaokiponda chuo hawajielewi na kujitambua sababu kwenye ajira mshahara hawaangalii vyuo, Vijana mje msome Chuo kikuu cha Dodoma
  4. M

    JamiiForums Tanzania HESLB: Kuanzia mwaka huu wa masomo, wanufaika wote wa mikopo watakopeshwa kulingana na uwezo wao

    Wamesema hata wale wanaoendelea na masomo wanaangalia ufaulu
  5. M

    JamiiForums Tanzania AWAMU YA PILI KIDATO CHA NNE NI LINI?

    Napenda kuulizia chaguo la awamu ya pili kwa kidato cha nne itakua lini maana kuna ndugu yangu ana div III ya 22 hajachaguliwa kwenda advance tulivyofatilia tukaambiwa asubili awamu ya pili itatoka soon naomba mnisaidie hiyo awamu ya pili ni lini itatoka?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu ajila za ualimu 2016

    Hii taarifa inanipa ukakasi kama ya kusitishwa kwa hela ya field
  7. M

    JamiiForums Tanzania Chaguo la pili la kidato cha nne litatoka lini?

    Wakuu naomba mnisaidie, chaguo la pili la kidato cha nne litatoka lini? Naomba msaada wenu.
Back
Top Bottom