Recent content by mwongozo junior

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nakuhamuru mh rais

    Huyu atakua Mkenya Neno sahihi ni "nakuamuru". Unamuamuru Muh. Rais kama nani!? Pumbavu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Gwajima amkana Lowassa: Apinga kuwahi kuunga mkono Mwanasiasa yeyote

    Kwa kumtia mimba flora mbasha na kumruka lowassa, sina imani tena na gwajima
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hawa waalimu sasa hizi silabasi wanazotumia watafeli wao na wanafunzi

    Mleta Uzi ni mpumbavu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa aanza kuchunga ng'ombe huko Handeni, Tanga

    Bangi + viroba
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa aanza kuchunga ng'ombe huko Handeni, Tanga

    Safi sana lowassa. Kachunge mifugo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

    Una ushahidi? Pumbavu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    Kama madai yapo yasipuuzwe. Mohd said andaa waraka wako, itisha press conference na jopo lako, kisha peleka barua kwa waziri Wa elimu. Naamini mtakua mmefanya la maana. Mkiona kimya hamuitwi au kupewa jibu lolote, mnaweza kurudi kwa waziri kuulizia maendeleo ya barua yenu. Pelekeni barua...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete aongoza jopo teule la umoja wa mataifa kukabiliana na majanga ya afya duniani

    JK anakubalika sana kimataifa na atang'aa sana. Angalieni kwenye picha alivyoiteka hadhira.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku mikutano ya kisiasa

    Fisadi lowassa hatozunguka safari yake ya kushukuru. FULL STOP!!!! Sasa ni mwendo Wa kutumbua majipu. Aende akachunge ng'ombe. Alisema kweupe akihojiwa na Zuhra Yunus Wa BBC kuwa ararudi monduli
  10. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku mikutano ya kisiasa

    Punguza viroba dogo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku mikutano ya kisiasa

    Umewahi ishi marekani. Sikia kwa wanaoijua marekani. Hakuna mikutano ya kisiasa ya hadhara. Ya ndani ukumboni sawa. Maandamano yakifanyika huwa ya mlengo Wa utaifa siyo chama cha siasa. Uko dunia gani dogo!?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku mikutano ya kisiasa

    Asante muh.Kasim Majaliwa. Tuache upuuzi Wa kushukuru. Tujenge nchi. Wazungumze bungeni au kuitisha press conference. Ulaya na marekani uchaguz ukimalizika, hakuna mikutano ya kisiasa. Siasa huhamia bungeni, kwenye makongamano au mkutano na waandishi Wa habari. Hongera Waziru Mkuu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli aendelea kutumbua Majipu: Mkurugenzi Hospitali ya Ocean Road Asimamishwa

    Inaelekea alietumbuliwa ni mjomba yako. Na bado! Hujaona kuwa wamelazimishwa kutangaza vitegauchumi vyao katika sekta ya afya. Unajua nini kitafuata?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli aendelea kutumbua Majipu: Mkurugenzi Hospitali ya Ocean Road Asimamishwa

    Ndiyo gharama za mabadiliko. Kubomoa na kujeruhi lazima
  15. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli aendelea kutumbua Majipu: Mkurugenzi Hospitali ya Ocean Road Asimamishwa

    Alipofika ocean road alikuta upungufu mkubwa Wa dawa hali ya kuwa kumbukumbu za wiki tatu kabla zilionesha kiasi kikubwa cha dawa zilizopelekwa hospitalini ambacho hakiendani na dawa zilizokutwa hospitalini na zile walizopewa wagonjwa Wa saratani. Takwimu zilikuwa haziendani.
Back
Top Bottom