Recent content by Mwombeki muhaya

  1. Mwombeki muhaya

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ndugu zangu nataka kujua kama Tender hii imeshakuwa awared na kwa nani; TENDER NO. PA/001/2018-19/HQ/W/031 "Tanzania-Zambia Transmission Interconnector Project (TaZa); Design, Supply, Installation, Implementation, Training and Commissioning of Corporate Management System (CMS) and Supporting...
  2. Mwombeki muhaya

    Voices from Within: JPM ni Rais msikivu na mwenye huruma, aliyekosea kuapa, atasamehewa, ataapishwa upya na kuendelea na Unaibu Waziri wake

    Ndugu Mayalla you can't be serious, hivi hili ni suala la kupongeza na kuandika ulichokiandika? Ningekupongeza na kukuona wa maana kama ungeungana na mimi kumshangaa Rais kwani hivi kweli kwa akili ya kawaida tu hata kama elimu yake ni ya mashaka mtu mwenye elimu ya masters anaweza kushindwa...
  3. Mwombeki muhaya

    Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!

    Makala zako "fikilishi" mbona hazijagusia wizi na uporaji wa haki za wananchi Bara na Visiwani? Ukishakuwa na double standard, ukatanguliza tumbo mbele akili nyuma huwezi ukawa mchambuzi bali utakuwa unapraise na kuworship.
  4. Mwombeki muhaya

    GE2020 Anachokifanya Tundu Lissu kwa sasa ni kutafuta umaarufu kwa ajili ya 2025

    Hakika hujashirikisha halmashauri ya ubongo wako katika kuanzisha uzi huu. Ulipewa TITLE nzuri lakini maelezo uliyotoa ni uharo mtupu. Mrudie aliyekupatia TITLE ili ukueleze alimanisha nini.
  5. Mwombeki muhaya

    GE2020 Tundu Lissu aliwahi kuisaidia nini Tanzania? Mwenye uelewa atuelezee

    [emoji3][emoji3][emoji3] Sent from my ATU-AL10 using JamiiForums mobile app
  6. Mwombeki muhaya

    GE2020 Tundu Lissu aliwahi kuisaidia nini Tanzania? Mwenye uelewa atuelezee

    Du! ndio umejenga hoja hivyo? Sent from my ATU-AL10 using JamiiForums mobile app
  7. Mwombeki muhaya

    Ukweli kuhusu ndege za Serikali

    Kufufua shirika la ndege sio lazima ununue madege yote hayo tena bila utaratibu wa manunuzi ya kinchi. Nyie mkubali mlibaka manifest ya CHADEMA 2015 bila kujua mikakati iliyokuwa imepangwa ili kufufua shirika hilo hata kama walikuwa wanataka kununua ndege zisingekuwa madege yote hayo. Sent...
  8. Mwombeki muhaya

    Uzi maalumu wa kueleza 2015 ulikuwa mshabiki wa chama gani na leo wewe unashabikia chama kipi???

    Naamini upinzani ni chachu ya maendeleo, ingawa ktk nchi zetu zilizojaa watu wenye fikra fupi wasio kuwa na maono hawapendi kuona wala kusikia upinzani. Kwa ufupi ni kwamba nilikuwa upinzani na nitabaki upinzani ktk chama kile au kingine kinachoonesha kuwa na watu makini wenye hoja nzito za...
  9. Mwombeki muhaya

    Sugu: SGR maana yake siyo reli ya umeme, hata TAZARA ni SGR

    Soma hiyo utaelewa point ya Mh. Sugu Sent from my ATU-AL10 using JamiiForums mobile app
  10. Mwombeki muhaya

    Rais Magufuli, msamehe Mh. Mnyika bure ni utoto tu

    Hivi ni kweli kuna watu humu JF hawana akili kiasi hiki au kwa makusudi wanaamua kujitoa akili? Sent from my ATU-AL10 using JamiiForums mobile app
  11. Mwombeki muhaya

    Serikali imeninyang'anya korosho zangu

    Pole sana mkuu, Mungu atakulipa kwa namna yake. Wale wote walioshiriki October 2015 kutufikisha hapa kwa makusudi au kwa ugumu wa shingo zao au kwa maslahi yao binafsi hakika wana la kujibu mbele za Mungu.
  12. Mwombeki muhaya

    Mbowe na Lissu wanatakiwa kujifunza kutoka kwa Raila

    Ni aibu kwa MTU mwenye akili kutoa ushauri kama huu aliyakuwa unafahamu ukweli, Mungu akusaidie!
  13. Mwombeki muhaya

    Mwenyenzi Mungu hakumuumba Lissu kama alivyo leo

    It is impossible in the modern world to shield everyone from nonsense and stupidity. Ndugu yangu unahitaji maombi.
  14. Mwombeki muhaya

    Watanzania tunaandaa taifa la hovyo kuliko yote duniani

    Mhhh! wakati mwingine ukimya unasaidia na unaficha mengi!
  15. Mwombeki muhaya

    Watanzania tunaandaa taifa la hovyo kuliko yote duniani

    Tusiwashambulie watu kama hawa, tuwaendee kwa UPOLE na UNYENYEKEVU, zaidi tuwaombee kwa Mungu awafungue akili na mioyo. Si kitu cha kawaida au akili ya kawaida MTU kama huyu kuwa hajaona pointi yoyote ktk hayo yaliyosemwa. TUWAOMBEE
Back
Top Bottom