Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!

1. Insane.
2. Ignorance.
3. Selfishness....

Ila hayo yote uliyosema, wameanzisha chama na wana ushawishi mkubwa sana Taifa Zima, And u can’t simply do without then....

Hemu wewe smart show one thing you have done tokea uzaliwe?
 
1. Insane.
2. Ignorance.
3. Selfishness....

Ila hayo yote uliyosema, wameanzisha chama na wana ushawishi mkubwa sana Taifa Zima, And u can’t simply do without then....

Hemu wewe smart show one thing you have done tokea uzaliwe?
Labda ushawishi wa ghasia, fujo, maandamano, kutengeneza matukio ya kubumba & kupinga "killer key two." Nadhani mngefaa sana tu kwenye fani ya kuchonga vinyago vya historia kwa ajili ya picha za kumbukumbu. Je niko fair enough, au nipandishe volume???
 
Wenye hekima, wanaostahili heshima ya kuitwa VIONGOZI katika jamii, baada ya uchaguzi wa aina hii, wenye majeraha kiasi hiki katika jamii ya watanzania, hujitahidi kutafuta suluhu, hutafuta uponyaji wa Taifa.

Nathan Mpangala, mwanafalsafa anayewasilisha ujumbe wake kupitia katuni, kupitia televisheni ya ITV, hivi karibuni alitoa ujumbe mfupi kama ifuatavyo:
1) Uchaguzi
2) Matokeo
3) Maridhiano
Na akahoji kwanini namba 3 huwa ngumu sana kote duniani?

Ni wazi kwamba umeongeza mashambulizi kwa upinzani siku hizi ili serikali hii ikuone na kukutambua. Inaeleweka. Lakini sikutarajia Pasco kuna siku utajishusha na kujidhalilisha kiasi hiki. Yaani afadhali hata Musiba.
 
Your statement should begin with "still." Where did you go to school?
Baloney phoney.

I am not even going to entertain the frivolous folly of your highfalutin hullabaloo, haranguing hyperboles and ignorant ignoble ideologue's illogic.

Where is the justification for your case?

Facts and figures please, logic and levelheadedness.

Neither childish chicanery nor political pugilism will be entertained.
 
Wanalalamika kuvunjwa kwa Katiba huko nao wakivunja kwa kutoteua Makamu wa I wa Rais, kutoteua Wabunge wa Viti Maalumu na huku wakipokea ruzuku kimaficho!
 
Baloney phoney.

I am not even going to entertain the frivolous folly of your highfalutin hullabaloo, haranguing hyperboles and ignorant ignoble ideologue's illogic.

Where is the justification for your case?

Facts and figures please, logic and levelheadedness.

Neither childish chicanery nor political pugilism will be entertained.
You have an ample opportunity to defend yourself, but suddenly, strangely, all your talking drums are peeling a cacophonous monotone plus discordant, inharmonious, repetitious, unchanging intonation of style. When did you lose the ability to improvise your natural instinct that you are only awkwardly going along with non-native scripter's ochestration???
 
Labda ushawishi wa ghasia, fujo, maandamano, kutengeneza matukio ya kubumba & kupinga "killer key two." Nadhani mngefaa sana tu kwenye fani ya kuchonga vinyago vya historia kwa ajili ya picha za kumbukumbu. Je niko fair enough, au nipandishe volume???

U can’t do without
 
You have an ample opportunity to defend yourself, but suddenly, strangely, all your talking drums are peeling a cacophonous monotone plus discordant, inharmonious, repetitious, unchanging intonation of style. When did you lose the ability to improvise your natural instinct that you are only awkwardly going along with non-native scripter's ochestration???
Last chance for you to redeem yourself by providing a logical justification for your stance please.

Before I relegate you to my ignore list like the flat earth society member you clearly seem to be.
 
Last chance for you to redeem yourself by providing a logical justification for your stance please.

Before I relegate you to my ignore list like the flat earth society member you clearly seem to be.
We can easily forgive a child who is afraid of the darkness; but the real tragedy of life is when people like you are either afraid of, or cannot express themselves succinctly.
 
We ni mpumbavu na mjiinga wa mwisho, kabla haujaandika hapa ulipaswa ututafute mawakili na tukueleweshe, na ujue mwanasheria (mtu mwenye degree tu ya sheria bila kua wakili) kama ulivyo ni mtu incompetent kitaaluma so sishangai kuhusu mabandiko yako ya kijinga.

Ili kitu kiwe kina hodhiwa na jamii basi ni lazima sheria flani iseme wazi, na ili kitu kiwe kina public interest basi lazima kitu icho kina athiri maisha ya wanajamii directly, vyama vya siasa haviwezi kua na public interest since its an aptional, mtu ana anachagua kwa kupenda na halazimishwi, so chadema au sau haviwezi kuathiri maisha ya watu moja kwa moja kama vikigoma na hakuna atakae athirika direct.

Wanapewa ruzuku sababu nisheria na taratibu zilizowekwa.

Idiot
 
Mkuu Kiranga , kipimo cha public interest kabla ya kufikia uamuzi wowo, kinapimwa kwa kujiuliza jee uamuzi huu tunaouchukua una manufaa yoyote kwa chama chetu, jee una manufaa kwa public?. Public interest ni kutanguliza mbele maslahi ya umma na sio maslahi ya chama.

Chadema imepata mbunge mmoja wa Nkasi, kitendo cha kutaka kumzua ni uendawazimu, na Bunge likianza, akiapishwa kisha Chadema wakimfuta uachama, Spika atamlinda ili huu utakuwa ni uthibitisho Chadema ni vichaa!.

Sasa kufuatia aggregate ya kura za Lissu, Chadema ina fursa ya kuvuna wabunge 20 wa viti maalum, na kuendelea kuvuta ruzuku, Chadema inagoma kupeleka majina NEC, ina taka kuachieve nini?!. Kususia jambo au kugomea jambo ambalo you will achieve nothing kwa kususa huko au kugoma huko, this is insanity!.

Baada ya kushindwa uchaguzi wa 2015, Chadema wakahamasisha maandamano ya UKUTA kwa hoja ya kupinga udikiteta, niliuliza hivi hivi ninavyouliza leo
P
Kama haya maelezo uliyotoa wanaCdm hawawezi kukuelewa na kukubali ukweli basi kuna tatizo kwenye vichwa vyao.
 
Wanabodi,

JF ni ukumbi huru wa kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, na kitu kikubwa zaidi, kusaidiana. Kama kuna kitu unakijua, na unaona kinafanyika ndivyo sivyo, unajitolea kusaidia, na hiki ndicho ninachofanya hapa, kwa kuendelea na zile makala zangu elimishi kuhusu Maslahi ya Taifa.

Declaration of Interest
Mimi ni kada wa chama cha siasa, ila ninapoandika hapa, siandiki kama kada, bali naandika kama Mtanzania Mzalendo, ukinisoma with preconceived kuwa huyu ni kada wa chama fulani, hutaweza kuiona rationale ya bandiko hili, hivyo nakushauri bara uishie hapa.

Vyama vya Siasa Tanzania ni Public Parties
Japo vyama vya siasa ni mali ya wanachama na kuhudumiwa na michango ya wanachama, kwa Tanzania, vyama vya siasa ni private parties vya wanachama, wakati wa kuanzishwa tuu, lakini vikiisha ingia kushiriki uchaguzi na kushinda, status ya vyama hivyo ina change from private parties za wanachama into public parties za umma na ndio maana vinalipwa ruzuku ya serikali. Fedha za serikali ni public money, yoyote anayelipwa by taxpayers money ni public entity, kufuatia viongozi wa vyama hivyo kuchaguliwa na wananchi, the public, to hold a public office, serikali za mitaa, udiwani, ubunge hadi urais, walio wachagua ni public ya Watanzania na sio wanachama wao pekee, hivyo hivi vyama vyote vya siasa vyenye viongozi waliochaguliwa na wananchi ni public parties.

Kufuatia status hii ya vyama vya siasa kuwa ni public parties, then maamuzi yoyote ya chama kuhusu uchaguzi, lazima yazingatie the public interest na sio the selfish motives ya viongozi wake wajinga wajinga kutokana na bitterness ya kushindwa kwenye sanduku la kura, kwa kujiaminisha walishinda hivyo wamepokwa ushindi!.

Miongoni mwa walioshinda, ni baadhi ya wapinzani. Inasemekana vyama vyao vimepanga kuwazuia kuwatumikia wananchi waliowachagua!. Huu ni ujinga uliopitiliza!.

Japo mgombea lazima adhaminiwe na chama cha siasa kugombea nafasi yoyote ya uongozi wa umma, kwa maoni yangu, udhamini una lengo zuri la kupata viongozi safi, lakini pia huu ni ujinga na ni kinyume cha katiba, japo ujinga huu sasa umehalalishwa na kuchomekewa ndani katiba yetu kinyume cha dhamira ya mtunga katiba.

Lakini huyo mgombea akiisha chaguliwa kwa kura za wananchi kuwa kiongozi, status yake ina change from mdhaminiwa wa chama cha siasa into a public service, kiongozi huyu sasa anakuwa ni kiongozi wa umma na sio mgombea wa chama. Uwezo wa chama cha siasa kumfukuza uanachama mwanachama wake ambaye ni kiongozi wa umma, bila kosa lolote, au kosa lake ni yeye kuchaguliwa kuongoza eneo lake, wakati vigogo wa chama chake wameshindwa na kupigwa chini na wananchi wao, huu ni ujinga na kutowatendea haki wananchi wa eneo husika walio onyesha imani yao kwa mgombea huyo na kumchagua!.

Baadhi ya Viongozi wa Vyama ni Insane, Hawajui Watendalo!
Wanabodi, naomba kutanguliza kuomba radhi kwa haya ninayoyaandika kuhusu baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa kuwa ni insane bila ya wao kujijua they are insane, ila ni kweli baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa ni insane na utawajua kwa mawazo yao, maneno yao na matendo yao. Kuna kauli za ajabu ajabu zinatolewa na baadhi ya viongozi wetu, mtu hadi unajiuliza kama vingozi hawa wana akili timamu!

Ili kuielewa hii dhana ya viongozi insane, katibu hapa ili umjue insane ni nani na utamtambuaje na kumtofautisha na mtu mwenye akili zake timamu.


Insanity Inawapataje Viongozi wa Siasa?.
Kama nilivyoeleza pale juu, mtu kuwa insane ni hali tuu, kwa Kiswahili kizuri ni kughafilika. Mtu unaweza kuwa timamu kabisa, lakini ukatibuliwa na jambo fulani, ukachukua maamuzi ya hamaki, hasira na kufanya kitendo ambacho sio cha kawaida sometimes hata kuua!, halafu ukiisha tulia, ndipo unajiuliza umefanya nini na kuanza kuujutia uamuzi wako.

Lengo la chama cha siasa, ni kushika dola, hivyo viongozi wanaogombea nafasi mbali mbali kwa lengo la kushika dola (urais), kushika jimbo (ubunge), kata (udiwani), na mitaa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

Sasa katika kugombea, kukijitokeza umati mkubwa wa watu katika mikutano yako, kunakupa matumaini ya kukubalika, hivyo mgombea unakuwa na too great expectation ya kushinda, kumbe ni just some false hopes, hivyo uchaguzi ukifanyika, matokeo yakaonyesha umeshindwa, unapagawa, unachanganyikiwa unakuwa huamini matokeo, hivyo unaghafilika, unarukwa na akili, una despair, hiyo hali inakusababishia hali inayoitwa preudo insanity, hivyo unatoa maamuzi ya ajabu ajabu, kwanza ni hatua ya kwanza inaitwa denial, hukubali matokeo, unaamini ulishinda ukaibiwa kura, hivyo una wabibilize wafuasi wako muingie barabarani!, this is insanity kutaka kuwafolenisha watu kuwaingiza barabarani ili iweje?.

Hatua ya pili ni kutoa taarifa kuwa hukubali matokeo, hii ni kawaida kwa kila asiyakubali kushindwa. Hatua ya tatu ni kusema huwatambui walioshinda. Unaweza usiwatambue kwa muda, lakini walioshinda wakiisha apishwa, kutowatambua ni muendelezo wa insanity!. Hatua ya nne ni kususa, na kutaka kuwazuia wengine walioshinda kihalali, au kususia kutoa ushirikiano kwa walioshinda, kama hili la kugomea kutoa majina ya wabunge wa viti maalum!

Kuna wanaoshindwa na kubakia kuwa stable, lakini kuna wanaoshindwa na kuchanganyikiwa hadi kurukwa akili, sasa hawa walioshindwa na kurukwa akili wakitoa maamuzi ya ajabu ajabu, wenye akili timamu mkiwafuata, wote mtaonekana insane!

Mtu Kuwa Insane Sio Kosa, ni Hali Tuu, Lakini Kikundi cha Watu, Chama, Kikao au Wanachama Wote Kukubali Kufuata Ushauri wa Isane, Wote Mtaonekana Insane!. Wale Wasio Insane, Wasikubali Maamuzi ya Isane!.
Uchaguzi umekwisha, walioshinda, wameshinda, walioshindwa wameshindwa, zipo taarifa za baadhi ya viongozi walioshindwa kutaka kuwazioa walioshinda wasitumikie wananchi waliowachagua!, this is insanity!.

Kuna taarifa za chama fulani kugomea kuteua wabunge wa viti maalum kwa hoja za kususu, this too is insanity!.

Wito wangu kwenye hivyo vyama, kama kuna viongozi ambao sio insane, please stop this madness ndani ya vyama vyenu, vinginevyo wote mtaonekana ni insane!.

Jee Kila Uamuzi wa Kugomea Jambo au Kususia Kitu ni Ujinga, Insane?
Hapana, sio kila kugomea jambo au kususia jambo fulani ni ujinga. Kugomea jambo fulani ili kutuma ujumbe mzito kwa watawala, kuwa this is not right, kunakubalika, hivyo maandamano ya kutuma ujumbe, demonstrations au industrial actions kwa wafanyakazi, kudai haki zao, ni migomo halali na ina justification kwa ajili ya kutimiza malengo fulani.

Kipimo cha kususia jambo fulani au kugomea fulani, kipi ni uamuzi sahihi na kipi ni ujinga na uendawazi, ni kipimo cha kutumia matokeo, jee ukigomea jambo fulani, una goma ili kuachive nini?, kama unagoma tuu ili mradi kugoma, au unasusa tuu ili mradi kususa, kwa kugoma huko, huta achieve anything, huku ndio kugoma kwa ujinga na uendawazimu, viongozi wa vyama wanaohimiza vyama vyao kusasa huku na kugoma huku ambapo there is nothing they'll achieve kwa kususa huko au kugoma huko, huu ndio uendawazimu ninaouzungumza hapa!.


Huwezi kususa kumtambua rais wa nchi- huu ni uendawazimu. Mgombea ameshinda, huwezi kumzuia asitumikie wananchi walio mchagua- huu ni uendawazimu. Chama kinastahili kupata idadi fulani ya wabunge wa viti maalum, kugoma kupeleka majina NEC ni uendawazimu, unasusa ili iweje?.

Hitimisho.
Kwa vile vyama vya siasa ni public parties, viongozi wa vyama, mna wajibu wa kuviendesha vyama vyenu kwa kutanguliza mbele maslahi ya umma na sio maslahi binafsi ya viongozi wenu, msiruhusu ignorance, insanity, selfishness ya baadhi ya viongozi wenu wabinafsi, kuviangamiza vyama vyenu kwa ignorance, insanity, selfishness yao, wakati miongoni mwenu sio wote mko insane.

ACT Wazalendo, acheni ujinga wa ignorance, insanity, selfishness ya viongozi wenu insane!, pelekeni jina la Makamo wa Kwanza wa Rais kwa Dr. Mwinyi!

Chadema acheni ujinga wa ignorance, insanity, selfishness ya viongozi wenu insane!, pelekeni majina ya maalum NEC
Nawatakia Jumatatu Njema
Paskali
At it again! Ujinga, ujinga, ujinga, ujinga! Mayalla unashida gani? Au unajiona wewe ni cream ya JF of GT's? Si vizuri kila wakati kuwaita usiowapenda kuwa ni wajinga, wajinga, wajinga. Pascal, mwanasiasa ambaye mimi ninamuona na kumuamini kuwa ni mkweli si lazima nawe umuone hivyo, siasa ni imani kama zilivyo dini, uvumilivu ni muhimu sana.
 
Back
Top Bottom