Recent content by mwoga

  1. M

    Richard leo anaizamisha redio ya Kagasheki Bukoba

    Mtoa mada ni mfanyakazi wa hii radio au chanzo kingine cha sarakasi za fitina za Bukoba? Kweli Richard Leo ambaye ameanza kusikika kwenye vyombo vya habari wakati huo ikiwa RTD pekee hewani hajui kiswahili? Au unamaanisha hana lafudhi ya kiswahili? Mtafute faragha umwambie anachokukwaza...
  2. M

    Mwigulu aendelea kufunika Igunga

    Let us wait and see how long this Funika gonna last. Dr. Mkumbo is watching your backs very closely.
  3. M

    TENDWA atatendwa tu...

    Kwa uelewa wangu huyu kiongozi muhimu hajarudisha kadi yake ya ccm licha ya kazi yake kumtaka awe neutral. Kama nafasi hii muhimu kwa jamii ingekuwa inaombwa na usahili unafanyika hakika mstaafu huyu asingelikalia hicho kiti.
  4. M

    Kiapo cha Madaktari: Ni Zaidi ya Pesa kweli...

    Acha kukariri utumbo. 2015 inahusikaje na maslahi ya wasomi kama madaktari? Au kwasababu wao hawana njia za kupata hela kifisadi kama nyie wanasiasa wachumia tumbo mnaoogopa itakuaje wananchi wakitumia busara zao 2015? Tuna tatizo la uongozi Tanzania na tatizo walioingia madarakani kwa elimu za...
  5. M

    Vijana wa Vyuo vikuu wanaCCM waandamana kuunga mkono JK kuvunja baraza la mawaziri!

    Maandamano ya aina hii yatajitokeza sana hasa wakati huu jahazi la CCM linavyozidi kupoteza mwelekeo kwasababu nahodha wao anatumia mapokeo badala ya GPS. Wenye uwezo wa kutumia akili wanajua fika chama hakiwezi kurudisha haiba kwa agenda za kuiga. Mmewatupa viongozi wenye sifa kwa mitandao...
  6. M

    Jeshi la polisi kumkamata Dr. Slaa

    Wanajaribu kubinafsisha uelewa wa watz. They should never undermine the thinking of desperate fellow countrymen.
  7. M

    Jeshi la polisi kumkamata Dr. Slaa

    Wanajaribu kubinafsisha uelewa wa watz. They should never undermine the thinking of desperate fellow countrymen.
  8. M

    Jeshi la polisi kumkamata Dr. Slaa

    The police force should come clear on this because what happened in Mwanza shows how irresponsible the police force is in the region. it is high time they should state their position in the saga. I advise them to read signs of the collapsing ruling party. Shame on the RC.
Back
Top Bottom