Recent content by Mwl Simba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu, Jokate Mwegelo na Lisa Jensen

    wooowww!!!!!!!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Muhimbili: Mwandishi ajifanya mgonjwa, nusura apasuliwe tumbo

    hao ni madaktari kanjanja wa kitanzania
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kumkumbatia mpenzi wako staili hii..????

    daah picha zingine bana!!!! jamaa hana mkia?si amchape?ii
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz Vs. Ridhiwani Kikwete; Ridhiwani Anamiliki Malori 100 Ya Mizigo

    Nashukuru sana baba yangu mzee Simba ni mkulima tu wa kawaida kijijini chipunda, masasi,mtwara hakuwahi kuiba cha mtu na kusemwa hadharani hivi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimeziokota ufukweni mwa bahari je kuna mtu aliyeziangusha hizi pesa?

    Ni zangu uko pande zipi mida hii nizifuate?usiwapelekee police watakuweka ndani buree!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba kutikisa London Uingereza, Marekani aacha historia

    Ila najifunza kitu ktk siasa za kibongo,na nakumbuka na kuiamini kauli ya aliyekuwa mbunge wa Igunga ROSTAM AZIZ aliyeitoa wakati anajiuzulu kwamba "nataka kuachana na siasa uchwara"...nadhani tuachane na propaganda ambazo hazitusaidii watu wa hali ya chini,sasa ziara ya mtu marekani au...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwisho Mwampamba kufukuzwa Namibia

    Mwambie huyo maana kauli yake ni km mtu mwenye jiografia ya kuku,atembee aone,aende hata msumbiji tu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Picha za Kigali,Rwanda.Watanzania tuna cha kujifunza sana kuhusu usafi wa mazingira

    Ni president huyo?au nimemfananisha?km ndiye safi sana ni mfano wa kuigwa km afisa utumishi wetu igunga vile mr. Chaula, Hongera sana!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Extract ya hotuba ya Josephine Mushumbusi alipoongea na Watanzania waishio DMV, USA

    Waungwana mi napita tu ila hamjambo humu ndani?acha mi niende igoweko.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba achaguliwa kuwa m/kiti wa Vyama vya Ukombozi kusini mwa Afrika

    Ila siasa bwana! hv kweli watu wa iramba wanakufurahia km mtoa mada alivyokupamba?ila brother mi napita pita humu mitandaoni unasemwa vibaya jichunguze sana utaishia pabaya ndugu yangu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Cheka kidogo

    Kwa hiyo ndo ulijua watu tutacheka kwa misemo ya kucopy na kupaste?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa wenye mahusiano na Wanafunzi wa Tz wanaosoma nje!

    Hiyo haihitaji form 6 au chuo kikuu kuweza kutambua kinachoendelea achana nae huyo hana mpango na ww unaumia bure tafuta dem mwingine utakufa kwa ngoma tu,mm yamenikuta hayo na nina dem mkali kuliyo yeye kwa sasa nafurahia maisha mapya..jitambue chukua maamuzi magumu ipo siku atakuja na ataumia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Intro

    Helloo!
Back
Top Bottom