Nenda maeneo ya Makanyagio mkabaka na chuo cha mkwawa tafuta mtu anayeuza chips. Muombe uuze mapande ya nyama. Nyama bei ya kilo maeneo ya Mtwivila mwezi uliopita ilikuwa elfu 6 kilo. Chukua stek tu kata mapande kisha choma uyauze kwa wanaoenda kula ugali au chips hasa wanachuo maana kule...
Pita Tabora, Kisha Dodoma, baada ya hapo Morogoro. Ni mwendo wa siku mbili au tatu ukiamua kuzungukia Mpimbwe majimoto kisha Inyonga, Tabora na baada ya hapo Dodoma au Morogoro moja kwa moja. Anaweza kupanda treni kuepuka mizunguko na gharama za mabasi.
Masomo niliyoyataja ndiyo niliyofaulu vema kuanzia ngazi ya sekondari hadi elimu ya chuo kikuu. Kwa mfano masomo niliyosema naweza kufundisha A-level ni yale tu niliyosoma chuoni. Niliyosema naweza kufundisha O-level ni yale tu niliyosoma elimu ya kidato cha nne na cha tano lakini masomo...
Naitwa Mwl. Samwel Raymond Mfaume, Nilihitimu katika chuo kikuu kishiriki cha elimu Mkwawa na kutunukiwa Shahada ya kwanza ya ualimu ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2019 kwa masomo ya Jografia na Kiswahili.
Kwasasa naishi Dar es Salaam, natafuta shule iliyopo mkoa wowote yenye uhitaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.