Recent content by Mwl Ryoba

  1. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA chezeni turufu hii jimbo la Serengeti

    Huo ndo ukweli mtupu kwamba kwa sasa jimbo la Serengeti ni Chadema tu kutoka na hizo fact hapo juu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majimbo utata UKAWA unashauri apewe nani?

    You are not my God and in that Case for God's grace I will be .I know you Nyambabe mosena
  3. M

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majimbo utata UKAWA unashauri apewe nani?

    You have to argue scienfically by showing us practical evidence not assumptions. Mfano Uchaguzi Mkuu uliopita2010 na s/mitaa 2014 Cdm 26 villages; 131 sub villages Nccr no village; 1 sub village 2010 election ubunge Ccm54% Cdm41% Nccr5% Mtandao wa cham a Cdm;kila Kitongoji kuna...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majimbo utata UKAWA unashauri apewe nani?

    You have to argue scienfically by showing us practical evidence not assumptions. Mfano Uchaguzi Mkuu uliopita2010 na s/mitaa 2014 Cdm 26 villages; 131 sub villages Nccr no village; 1 sub village 2010 election
  5. M

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majimbo utata UKAWA unashauri apewe nani?

    Kama vigezo vilivyowekwa vitatumika ni dhahiri ukawa itakusanya majimbo mengi sana lakini kama issue ni kugawana tu bila kuangalia uhalisia wa chama gani na mgombea yupi ndani ya chama hicho ananguvu eneohusika itakuwa ngumu sana kuachieve ukawa goals and destiny
  6. M

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majimbo utata UKAWA unashauri apewe nani?

    SERENGETI ni Chadema si vinginevyo refer matokeo ya ubunge 2010 Ccm54% Cdm41% Nccr5% Uchaguzi wa s/mitaa 2014 Cdm vijiji26 vitongoji131 Nccr hawana kijiji hata kimoja isipokuwa kitongoji1 moja Na kumbuka nccr ilisimamisha wagombea maeneo mengi na huyu katibu Mkuu wa nccr aliwanadi sana...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Warioba: Mimi na Salim urais basi

    Kamanda Francis, Umetoa hoja za Msingi sana, ngoja nisubiri Comment za Wengine nipate taathmin Kamili kisha ntarudi niongee Jambo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Swali la Kipima Joto ITV Kesho Jumatano 22/01/2014. Kuhusu Vyama vya Siasa Nchini.

    Hapana, Swala la Muungano halihitaji Mjadala Coz tutachelewa Mno, hapa Maamuzi ya Busara toka Kwa Vyama hivi yafanyike ili tuwakabidhi Nchi Wapinzani, maana tunaona kabisa kuwa Wana nia njema na Wanyonge...hii Iko wazi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Swali la Kipima Joto ITV Kesho Jumatano 22/01/2014. Kuhusu Vyama vya Siasa Nchini.

    Kamanda Francis, hongera sana Kwa advice zako, Offcoz umeongea Jambo la Msingi sana, Congrats 2u
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serengeti:Harakati za Kuimaarisha Chama Kupitia Kampeni ya CHADEMA ni Msingi Zinaendelea Vizuri.

    Tuungane pamoja tulikomboe Taifa letu toka Kwa Wakoloni weusi CCM...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serengeti:Harakati za Kuimaarisha Chama Kupitia Kampeni ya CHADEMA ni Msingi Zinaendelea Vizuri.

    Harakati hizi Zinaendeshwa na Uongozi wa CHADEMA Wilaya ya Serengeti hapa Mkoani Mara Chini ya Kamati tendaji ya Wilaya Kwa Kushirikiana na Viongozi wa CHADEMA ni Msingi wa Wilaya walio Chini ya Mwenyekiti wa Kampeni hii Kamanda Manawa. Licha ya Kukumbana na Changamoto za Hapa na pale, tayari...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kemondo Mwanza Wamkaba Kooni Mamluki wa CCM ndani ya Chadema.

    Mamluki hatakiwi ndani ya Chama, ni Kosa la Jinai... huyo afukuzwe haraka sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Makamanda wa "Kemondo Mwanza" Kwa Viongozi wa CHADEMA

    CHADEMA ni Tumani la Kweli Kwa Wanyonge wa Taifa hili Makamanda... Tupigane Kufa na Kupona, hakika tutashinda!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Baraza la Madiwani la Bajeti Serengeti Mara, Kupitisha Bajeti ya Billioni 31 Mwaka 2014/2015 Leo

    Tsh.26000000/=kukamilisha zahanati ya merenga
Back
Top Bottom