Recent content by Mwitapia23

  1. M

    Barua ya wazi kwa ndugu Tundu Lissu

    Huyo unauemtetea alileta maendeleo gani chato alivokua mbunge? Kama sio kipindi hiki ndio anakumbuka jimboni kwake huna hoja
  2. M

    GE2020 James Mbatia: Chama chetu cha NCCR Mageuzi kinakwenda kuwa chama kikuu cha upinzani nchini

    Kwahiyo mgombea wenu wa urais hawezi kushinda mnagombea kwa nin Sasa vyama vingine bwana utafikir akili zao ziko tumboni
  3. M

    Tuliohamia CCM ina maana ndoto zetu zimefikia hapo?Tulibugi sana

    Pambana na Khali yako tuachie cdm yetu
  4. M

    GE2020 Sababu kuu ya Lissu kushindwa, asilimia 80 ya Watanzania wanaishi Vijijini hawamjui Lissu ni nani, Magufuli anajulikana kila kona Vijijini

    Duuu Lissu Kuna mtanzania gani asiye mjua utajua Kijiji Cha wap mkuu au umekula maharage ya wapi mkuu
  5. M

    GE2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

    Wapi na lini alisema ataingiza watu barabarani zaid kusema hatakubali kuumizwa Mara ya pili
  6. M

    GE2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

    Kwan Ccm rais bara aligombea na nani walihesabu kwakua walijua hakuna atakae sema no wangekua wawili sidhan hayo maigizo ungeyaona Kule dodoma
  7. M

    Mzee Mkapa (RIP) aliomba Tume Huru anazawadiwa Kiwanja cha Mpira

    Mbona account imedukuliwa hiyo
Back
Top Bottom