Kwa mchaka mchaka huu wa upinzani hasa unaonyeshwa na CHADEMA tukiamini kipindi tunahama hiki chama kingekufa kumbe mambo yamebadilika ghafla
Tuliohamia CCM tumepotezwa ghafla na hatujui tulifuata nini humu,siyo siri tunaonekana ni watu la daraja la chini sana
Basi! huwa tunapigiana simu tuliohamia CCM tunavyoonekana kwa sasa baada ya mchakato kuisha,aiseee ! Tulibugi sana
Nawauliza wanaccm ina maana ndoto zetu za kisiasa zimefikia hapo au mtatufikiria baadae?
Mapokezi ya Tundu Lissu mikoani inanishtua sana,nawaza kumbe nisingehama kwa upepo huu wa Tundu Lissu huku mikoani kumbe ningetetea nafasi yangu kiulaini kuliko kuja huku ambako tumezikwa
Siku hizi mwenezi hapokei simu yangu,mkuu wa mkoa hapokei simu yangu
Nasikitika sana