Status
Not open for further replies.
Sikulaumu ww na mlaumu bashiru aliye wambia mujibu hoja za wapinzani bila kuuliza kama hoja nyengine ziacheni hata yule mwizi wa ardhi 25000 zimemshinda

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Nimekua nikikusikia kwenye kampeni zako ukiongea maneno mengi sana ya kuwadanganya na kuwalaghai watanzania kwamba utawaletea mabadiriko na maneno yako kamwe hayawezi kuwa na vitendo.

Sote tunajua kwamba kazi yako ya uwakili na uwanasheria ndio iliyo kufunza kuongea maneno mengi ili usaidie watuhumiwa kushinda kesi mahakamani. Kwa hilo tunakupongeza ila tunajua kabisa maneno ya mawakili huwa ni kwaajili ya kuwadanganya watu mahakamani na kumdanganya hakimu.

Sisi watanzania tunao ielewa Tanzania vilivyo tunajua wewe huwezi kuwaletea watanzania mabadriko kama tu umeshindwa kuwapelekea wanasingida mabadiriko. Kabla ya kuwambia watanzania kwamba utawaletea mabadriko tunaomba uwaeleze watanzania tangu umeanza kuwa mbunge jimboni kwako Singida ni mabadriko gani uliyo walepelekea wanasingida ambayo yanafanya wakukumbuke. Tunajua wazi umeanza kuwa mbunge wa singida tangia zamani.

Sote tunajua kwamba umeingiwa na Roho ya uchu wa madaraka ili uweze kuipoteza Tanzania yetu yenye amani na upendo. Na ndio sababu umekuwa ukifanya kampeni zilizo jaa jazba na maneno yenye chuki ndani yake bila furaha. Kamwe hatuwezi kukupa kura zetu eti kwasababu unachuki na mtu fulani. Hiyo huruma sahau.

Sote watanzania tunajua umeanza kuwa na chuki binafsi na viongozi wetu waliopo madarakani na waliokuwepo tangu unaanza kuwa mbunge.

Sasa sisi watanzania tunasema pamoja na kwamba unaongea maneno mengi yaliyo jaa ulaghai kura zetu hatuwezi kukupatia.

Sisi tunachojua Tanzania kwasasa ilisha anza kubadirika. Tunaye kiongozi pekee anayeweza kuiletea Tanzania mabadiriko ya kweli. Naye ni Dkt John Magufuli. Huyu ndiye kiongozi anayefanya mambo kwa vitendo.

Hatuwezi kumchagua kiongozi mwenye urafiki na mabeberu. Hivyo usitegemee kuzipata kura zetu.

Usidhani kwamba sisi watanzania sio werevu. Watanzania tunao jielewa wenye akili timamu tunao jua kumbanua mambo na kutafakari kwa kina kamwe hatuwezi kukupatia kura zetu siku ya tarehe 28 Octobar. Sote tunajua mambo makubwa yaliyofanywa na Dkt Magufuli katika awamu ya tano. Hivyo mtanzania mwenye akili timamu hawezi kukupigia kura wala kukushabikia. Tunajua wapo watanzania wachache wenye akili ndogo zisizoweza kutafakari wala kupambanua

Hivyo tunakuomba tu uwe mpole subiri tu hiyo nafasi yako ya uteuzi uliyo ahidiwa na Rais tunayempenda, Rais Mcha Mungu. Mpenda Maendeleo ya vitendo. Asiyetaka mchezo katika kazi.
Good
 
BARUA NDEFU MNO
 
Mgombea urais kupitia chama cha demokrasia na maendeleo Tundu Lisu kwa muda mrefu amejipambanua kama mtetezi wa haki za binadamu wote bila kubagua.

Lisu amesema wazi serikali yake haitaingilia mambo yanayofanyika kitandani kwa mtu. Sasa kutokana na hukumu ya leo ya kuingilia mambo ya kitandani ya kina Delicious na Amber ruty ,Lisu jitokeze ukemee na uwatetee hao watu kwamba wameonewa na Serikali, kwa kufanya hivyo utapata kura nyingi sana za kukuwezesha kuwa rais wa Tanzania.
Ahhhhhhh,kwishiney,mpaka unamlazimisha aitikie upuuzi,da,mmekisha walahi.
 
Huyo mtu wenu hawezi kupata kura nyingi. Namwonea huruma sana, kwani ukichunguza vizuri hata wafuasi wake ni rika fulani la watu wa type yake tu.
Ninachoshukuru zaidi ni kwamba, watu wengi zaidi ya 90% huku mitaani hawamtaki hata kwa bure. Hao ni pamoja na wale wa chama chake yeye mwenyewe.
Kama mnadhani mimi nawadanganya, subirini Oct. 28. muone aibu atakayoipata.
 
Nimekua nikikusikia kwenye kampeni zako ukiongea maneno mengi sana ya kuwadanganya na kuwalaghai watanzania kwamba utawaletea mabadiriko na maneno yako kamwe hayawezi kuwa na vitendo.

Sote tunajua kwamba kazi yako ya uwakili na uwanasheria ndio iliyo kufunza kuongea maneno mengi ili usaidie watuhumiwa kushinda kesi mahakamani. Kwa hilo tunakupongeza ila tunajua kabisa maneno ya mawakili huwa ni kwaajili ya kuwadanganya watu mahakamani na kumdanganya hakimu.

Sisi watanzania tunao ielewa Tanzania vilivyo tunajua wewe huwezi kuwaletea watanzania mabadriko kama tu umeshindwa kuwapelekea wanasingida mabadiriko. Kabla ya kuwambia watanzania kwamba utawaletea mabadriko tunaomba uwaeleze watanzania tangu umeanza kuwa mbunge jimboni kwako Singida ni mabadriko gani uliyo walepelekea wanasingida ambayo yanafanya wakukumbuke. Tunajua wazi umeanza kuwa mbunge wa singida tangia zamani.

Sote tunajua kwamba umeingiwa na Roho ya uchu wa madaraka ili uweze kuipoteza Tanzania yetu yenye amani na upendo. Na ndio sababu umekuwa ukifanya kampeni zilizo jaa jazba na maneno yenye chuki ndani yake bila furaha. Kamwe hatuwezi kukupa kura zetu eti kwasababu unachuki na mtu fulani. Hiyo huruma sahau.

Sote watanzania tunajua umeanza kuwa na chuki binafsi na viongozi wetu waliopo madarakani na waliokuwepo tangu unaanza kuwa mbunge.

Sasa sisi watanzania tunasema pamoja na kwamba unaongea maneno mengi yaliyo jaa ulaghai kura zetu hatuwezi kukupatia.

Sisi tunachojua Tanzania kwasasa ilisha anza kubadirika. Tunaye kiongozi pekee anayeweza kuiletea Tanzania mabadiriko ya kweli. Naye ni Dkt John Magufuli. Huyu ndiye kiongozi anayefanya mambo kwa vitendo.

Hatuwezi kumchagua kiongozi mwenye urafiki na mabeberu. Hivyo usitegemee kuzipata kura zetu.

Usidhani kwamba sisi watanzania sio werevu. Watanzania tunao jielewa wenye akili timamu tunao jua kumbanua mambo na kutafakari kwa kina kamwe hatuwezi kukupatia kura zetu siku ya tarehe 28 Octobar. Sote tunajua mambo makubwa yaliyofanywa na Dkt Magufuli katika awamu ya tano. Hivyo mtanzania mwenye akili timamu hawezi kukupigia kura wala kukushabikia. Tunajua wapo watanzania wachache wenye akili ndogo zisizoweza kutafakari wala kupambanua

Hivyo tunakuomba tu uwe mpole subiri tu hiyo nafasi yako ya uteuzi uliyo ahidiwa na Rais tunayempenda, Rais Mcha Mungu. Mpenda Maendeleo ya vitendo. Asiyetaka mchezo katika kazi.
Wewe na nani bwana usitusemee sisi sema mimi yani wewe kama wewe
 
Kiukweli kutoka moyoni CCM imewekeza kwa vijana wajinga mno kuliko hata neno lenyewe.
Ni wajinga hawa ndio wameacha hata ndoto ya viwanda kutofikia lengo japo kwa 25%.
Kibaya zaidi Rais Magufuli ameshindwa kugundua kuwa amezungukwa na kundi la wajinga wasiojua hata wanataka nini, hebu ona leo kila kijana anaimba wimbo wa mabeberu bila kujua kiitikio chake.
 
Aiseee ukiitwa mwanaccm embu njoo hapa ..pigana Wala usisite ndg ..Kama sio mwanaccm tafadhari pambana kuitwa hivyo ..aliyeandika huu upimbi Ni mwanaccm pure ile ile na itakuwa Ni pole pole chakubanga ..kaandika Utupolo mtupu
 
Nimekua nikikusikia kwenye kampeni zako ukiongea maneno mengi sana ya kuwadanganya na kuwalaghai watanzania kwamba utawaletea mabadiriko na maneno yako kamwe hayawezi kuwa na vitendo.

Sote tunajua kwamba kazi yako ya uwakili na uwanasheria ndio iliyo kufunza kuongea maneno mengi ili usaidie watuhumiwa kushinda kesi mahakamani. Kwa hilo tunakupongeza ila tunajua kabisa maneno ya mawakili huwa ni kwaajili ya kuwadanganya watu mahakamani na kumdanganya hakimu.

Sisi watanzania tunao ielewa Tanzania vilivyo tunajua wewe huwezi kuwaletea watanzania mabadriko kama tu umeshindwa kuwapelekea wanasingida mabadiriko. Kabla ya kuwambia watanzania kwamba utawaletea mabadriko tunaomba uwaeleze watanzania tangu umeanza kuwa mbunge jimboni kwako Singida ni mabadriko gani uliyo walepelekea wanasingida ambayo yanafanya wakukumbuke. Tunajua wazi umeanza kuwa mbunge wa singida tangia zamani.

Sote tunajua kwamba umeingiwa na Roho ya uchu wa madaraka ili uweze kuipoteza Tanzania yetu yenye amani na upendo. Na ndio sababu umekuwa ukifanya kampeni zilizo jaa jazba na maneno yenye chuki ndani yake bila furaha. Kamwe hatuwezi kukupa kura zetu eti kwasababu unachuki na mtu fulani. Hiyo huruma sahau.

Sote watanzania tunajua umeanza kuwa na chuki binafsi na viongozi wetu waliopo madarakani na waliokuwepo tangu unaanza kuwa mbunge.

Sasa sisi watanzania tunasema pamoja na kwamba unaongea maneno mengi yaliyo jaa ulaghai kura zetu hatuwezi kukupatia.

Sisi tunachojua Tanzania kwasasa ilisha anza kubadirika. Tunaye kiongozi pekee anayeweza kuiletea Tanzania mabadiriko ya kweli. Naye ni Dkt John Magufuli. Huyu ndiye kiongozi anayefanya mambo kwa vitendo.

Hatuwezi kumchagua kiongozi mwenye urafiki na mabeberu. Hivyo usitegemee kuzipata kura zetu.

Usidhani kwamba sisi watanzania sio werevu. Watanzania tunao jielewa wenye akili timamu tunao jua kumbanua mambo na kutafakari kwa kina kamwe hatuwezi kukupatia kura zetu siku ya tarehe 28 Octobar. Sote tunajua mambo makubwa yaliyofanywa na Dkt Magufuli katika awamu ya tano. Hivyo mtanzania mwenye akili timamu hawezi kukupigia kura wala kukushabikia. Tunajua wapo watanzania wachache wenye akili ndogo zisizoweza kutafakari wala kupambanua

Hivyo tunakuomba tu uwe mpole subiri tu hiyo nafasi yako ya uteuzi uliyo ahidiwa na Rais tunayempenda, Rais Mcha Mungu. Mpenda Maendeleo ya vitendo. Asiyetaka mchezo katika kazi.
Rais ndiye anaidhinisha sheria na pesa hata wewe ukiwa Rais utafanya mambo ambayo watangulizi wako wameyafanya ama kuyaboresha na kubuni mengine kutokana na mahitaji ya wakati huo, hakuna ambaye hana wadhifa wa Urais akafanya ya Rais pia kumbuka Rais ni taasisi
 
Nimekua nikikusikia kwenye kampeni zako ukiongea maneno mengi sana ya kuwadanganya na kuwalaghai watanzania kwamba utawaletea mabadiriko na maneno yako kamwe hayawezi kuwa na vitendo.

Sote tunajua kwamba kazi yako ya uwakili na uwanasheria ndio iliyo kufunza kuongea maneno mengi ili usaidie watuhumiwa kushinda kesi mahakamani. Kwa hilo tunakupongeza ila tunajua kabisa maneno ya mawakili huwa ni kwaajili ya kuwadanganya watu mahakamani na kumdanganya hakimu.

Sisi watanzania tunao ielewa Tanzania vilivyo tunajua wewe huwezi kuwaletea watanzania mabadriko kama tu umeshindwa kuwapelekea wanasingida mabadiriko. Kabla ya kuwambia watanzania kwamba utawaletea mabadriko tunaomba uwaeleze watanzania tangu umeanza kuwa mbunge jimboni kwako Singida ni mabadriko gani uliyo walepelekea wanasingida ambayo yanafanya wakukumbuke. Tunajua wazi umeanza kuwa mbunge wa singida tangia zamani.

Sote tunajua kwamba umeingiwa na Roho ya uchu wa madaraka ili uweze kuipoteza Tanzania yetu yenye amani na upendo. Na ndio sababu umekuwa ukifanya kampeni zilizo jaa jazba na maneno yenye chuki ndani yake bila furaha. Kamwe hatuwezi kukupa kura zetu eti kwasababu unachuki na mtu fulani. Hiyo huruma sahau.

Sote watanzania tunajua umeanza kuwa na chuki binafsi na viongozi wetu waliopo madarakani na waliokuwepo tangu unaanza kuwa mbunge.

Sasa sisi watanzania tunasema pamoja na kwamba unaongea maneno mengi yaliyo jaa ulaghai kura zetu hatuwezi kukupatia.

Sisi tunachojua Tanzania kwasasa ilisha anza kubadirika. Tunaye kiongozi pekee anayeweza kuiletea Tanzania mabadiriko ya kweli. Naye ni Dkt John Magufuli. Huyu ndiye kiongozi anayefanya mambo kwa vitendo.

Hatuwezi kumchagua kiongozi mwenye urafiki na mabeberu. Hivyo usitegemee kuzipata kura zetu.

Usidhani kwamba sisi watanzania sio werevu. Watanzania tunao jielewa wenye akili timamu tunao jua kumbanua mambo na kutafakari kwa kina kamwe hatuwezi kukupatia kura zetu siku ya tarehe 28 Octobar. Sote tunajua mambo makubwa yaliyofanywa na Dkt Magufuli katika awamu ya tano. Hivyo mtanzania mwenye akili timamu hawezi kukupigia kura wala kukushabikia. Tunajua wapo watanzania wachache wenye akili ndogo zisizoweza kutafakari wala kupambanua

Hivyo tunakuomba tu uwe mpole subiri tu hiyo nafasi yako ya uteuzi uliyo ahidiwa na Rais tunayempenda, Rais Mcha Mungu. Mpenda Maendeleo ya vitendo. Asiyetaka mchezo katika kazi.
Umeongozwa na mihemuko, hisia na itikadi za siasa badala ya hoja. Hoja yako iko wapi hapo?

Vv
 
Wananchi hawaelewi ujue.

Watu hawajalala hadi tunavyoongea
 
Mkuu
Na mimi nikitaka kujiunga na Lumumba Buku seven napitia njia zipi ?
 
Professor Magufuli promised the opposition will die out by 2020 (and worked so hard to achieve it).

Result? It doubled.

I now understand why he says these large crowds are "fake". You can't spend 5 yrs repressing people's basic freedoms and still expect to win their hearts and minds or else you are so dumb
 
Kama Lisu asingepigwa Risasi asingepewa nafasi ya kugombea Urais,

Alikuwa mwanachama na wakili wa kawaida tu,

Hakuna lolote la maana alilofanya kumpa sifa ya kugombea Urais.
 
Nimekua nikikusikia kwenye kampeni zako ukiongea maneno mengi sana ya kuwadanganya na kuwalaghai watanzania kwamba utawaletea mabadiriko na maneno yako kamwe hayawezi kuwa na vitendo.

Sote tunajua kwamba kazi yako ya uwakili na uwanasheria ndio iliyo kufunza kuongea maneno mengi ili usaidie watuhumiwa kushinda kesi mahakamani. Kwa hilo tunakupongeza ila tunajua kabisa maneno ya mawakili huwa ni kwaajili ya kuwadanganya watu mahakamani na kumdanganya hakimu.

Sisi watanzania tunao ielewa Tanzania vilivyo tunajua wewe huwezi kuwaletea watanzania mabadriko kama tu umeshindwa kuwapelekea wanasingida mabadiriko. Kabla ya kuwambia watanzania kwamba utawaletea mabadriko tunaomba uwaeleze watanzania tangu umeanza kuwa mbunge jimboni kwako Singida ni mabadriko gani uliyo walepelekea wanasingida ambayo yanafanya wakukumbuke. Tunajua wazi umeanza kuwa mbunge wa singida tangia zamani.

Sote tunajua kwamba umeingiwa na Roho ya uchu wa madaraka ili uweze kuipoteza Tanzania yetu yenye amani na upendo. Na ndio sababu umekuwa ukifanya kampeni zilizo jaa jazba na maneno yenye chuki ndani yake bila furaha. Kamwe hatuwezi kukupa kura zetu eti kwasababu unachuki na mtu fulani. Hiyo huruma sahau.

Sote watanzania tunajua umeanza kuwa na chuki binafsi na viongozi wetu waliopo madarakani na waliokuwepo tangu unaanza kuwa mbunge.

Sasa sisi watanzania tunasema pamoja na kwamba unaongea maneno mengi yaliyo jaa ulaghai kura zetu hatuwezi kukupatia.

Sisi tunachojua Tanzania kwasasa ilisha anza kubadirika. Tunaye kiongozi pekee anayeweza kuiletea Tanzania mabadiriko ya kweli. Naye ni Dkt John Magufuli. Huyu ndiye kiongozi anayefanya mambo kwa vitendo.

Hatuwezi kumchagua kiongozi mwenye urafiki na mabeberu. Hivyo usitegemee kuzipata kura zetu.

Usidhani kwamba sisi watanzania sio werevu. Watanzania tunao jielewa wenye akili timamu tunao jua kumbanua mambo na kutafakari kwa kina kamwe hatuwezi kukupatia kura zetu siku ya tarehe 28 Octobar. Sote tunajua mambo makubwa yaliyofanywa na Dkt Magufuli katika awamu ya tano. Hivyo mtanzania mwenye akili timamu hawezi kukupigia kura wala kukushabikia. Tunajua wapo watanzania wachache wenye akili ndogo zisizoweza kutafakari wala kupambanua

Hivyo tunakuomba tu uwe mpole subiri tu hiyo nafasi yako ya uteuzi uliyo ahidiwa na Rais tunayempenda, Rais Mcha Mungu. Mpenda Maendeleo ya vitendo. Asiyetaka mchezo katika kazi.
Pia anatumiwa na wakenya ili watushinde kwenye uchumi, maana hakuna free lunch

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Huyo unauemtetea alileta maendeleo gani chato alivokua mbunge? Kama sio kipindi hiki ndio anakumbuka jimboni kwake huna hoja
 
Hivyo tunakuomba tu uwe mpole subiri tu hiyo nafasi yako ya uteuzi uliyo ahidiwa na Rais tunayempenda, Rais Mcha Mungu. Mpenda Maendeleo ya vitendo. Asiyetaka mchezo katika kazi.
Kwa bahati mbaya Mh. Tundu Antiphas Lissu hana urafiki na viongozi wakatili, wasio na upendo, wezi, wasio na busara, wakurupukaji, wanaovunja Katiba, wasiotaka ushauri, wabinafsi, wasio na utu wala huruma kama huyu hapa chini...

Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom