Recent content by mwita_zakayo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bila Magufuli kuingia madarakani ningeporwa ardhi yangu

    CCM Oyeeeeeeeeeeeeeee Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Tunajaza vijana kwenye vyeo vya UDC badala ya kuwarudisha shule wakasomee taaluma

    Kafulila tangia ushindwe ubunge umepoteana kama unaona unafuu China na Malawi hamia huko lakini pia soma kilimo upo shallow vilevile unataka maDC wasomee taaluma gani mbuzi wewe Post sent using JamiiForums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tunduma: RC Songwe aagiza bendera za CHADEMA zishushwe kupisha ziara ya Waziri Mkuu

    Pongezi RC Songwe wapuzi hao wanafikiri kwamba waweke bendera za kipinzani ili PM aone kuwa wao ndo kiini cha upinzani watanyoka tu hawana hoja hawaoni Arusha wanaojielewa hawapingi jitihada za CCM wanaccm chapa kazi CCM Oyeeeeee Post sent using JamiiForums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Arusha 'inavimba' kwa joto kali wakati wowote inapasuka

    Kwani wewe chadema kupasuka unafikiri kuna madhara kwa taiga kwanza hawana dila Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee aishiwa nguvu, tangu afikishwe Polisi Oysterbay aligoma kula

    Hata wewe Hanna kitu kwani kuwa kiongozi wa kuchaguliwa na wananchi ndo Ulete upuzi wa kukashifu Mhe Rais DC yupo sahihi Chapa kazi achana na wapuzi hao
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi waomba Bunge kumuongezea muda Rais Magufuli madarakani

    Jamani kiukweli kulingana na kazi ya Magufuli imefika sehemu wapinzani mnatapatapa mnajiuliza muongee mini mnaanza kuzusha vitu ambavyo havipo napia nchi yetu mwongozo mkubwa ni katiba kwahiyo mabadiliko yakitokea na ikatamka hiyo ni sahihi kabisa hata Mimi napenda sana Magufuli aongezewe muda...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Anjela Kairuki awatolea uvivu waliopoteza majimbo

    Pongezi sana mheshimiwa Kairuki hata Mimi ni Mwana CCM ambaye huwa nakaa ninajifikiria kuhusu CCM kuna maeneo mengi sana CCM tunayapoteza kwa kuwa na viongozi wazembe wanaotuwakilisha wengine unakuta ni waajiliwa kama makatibu mpaka mshahara wanapewa na CCM lakini bado wanatuangusha katika...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kiini Macho cha CCM kwa Watanzania chaonekana leo Mwanza baada ya kufanya mkutano wa hadhara

    CCM ndo chama tawala maana yake ilani inayotekelezwa ni ya CCM na KATIBU WA itikadi na uenezi yupo kwenye kitengo kinachosimamia utekelezaji WA ilani ya CCM hivyo yupo kwenye majukumu yake hivyo anahitaji pongezi chapa kazi Polepole hao hawana hoja na suala la kubaki chama kimoja CCM kama...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa na Mkurugenzi Iringa watoa amri lazima kwa watumishi kujitokeza kumpongeza Magufuli

    Pongezi kubwa mheshimiwa RC WA Iringa kwa kazi nzuri unayoifanya maana imefika sehemu wapinzani wanakoswa hoja ndo maana inashangaza pale ambapo wengine hata kumpongeza mheshimiwa Rais kwa mazuri anayoyafanya wanapinga Mungu akusaidie sana katika utendaji kazi wako wewe chapa kazi HAPA KAZI TU
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wamuumiza Spika wa Bunge

    Mheshimiwa Ndugai hana shida tatizo ni wabunge WA upinzani kutofata utaratibu na nafikiri kwa mpinzani mwenye akili timamu kuna haja ya kumshukuru mheshimiwa spika maana anatekeleza majukumu yake ipasavyo na kingine wapinzani walikuwa wameziea kupiga kelele kwamba mambo hayaendi vizuri sasa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sababu za rais Magufuli kuogopa mikutano ya vyama vya Siasa isipokuwa ya CCM

    Kama unajua CCM waliiba mbona hamkuchukua hatua na pia huu ni muda wakufanya kazi sio kukusanya watu bila kuwa na tija kikubwa tuungane kutekeleza ilani ya CCM unasema CCM waliiba Kama Lowassa ndie alikuwa mgombea na anaunga mkono juhudi za Rais itakuwaje wewe ambaye pengine hats kura hukupiga
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA/UKAWA yagawanyika; zaidi ya robo tatu waunga mkono kazi nzuri za rais Magufuli

    Bila unafiki kulingana na kazi mheshimiwa Rais kama nimpinzani kuhamia CCM sasa hivi ndo muda mwafaka
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sababu za rais Magufuli kuogopa mikutano ya vyama vya Siasa isipokuwa ya CCM

    Wewe ni mchanga kwenye siasa huwezi kusema kwamba Rais akiruhusu mikutano ya kisiasa eti mtapeleka Sera zenu kwa wananchi wasikubali CCM ni uongo mtupu mbona Sera zenu mlizinadi wakaziona hazifai
  14. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya awali toka BAVICHA Mkoa wa Mbeya juu ya maandamano na kongamano la kumpongeza Tundu Tundu

    Bavicha hamna hoja za msingi mnatapatapa na hii inadhihirisha kiwango chenu cha kufikiri kipo chini na hamna dhamira ya dhati katika kuleta maendeleo ya taifa hili hamuoni vijana makini WA CCM wanachapa kazi za maendeleo angalia watu kama Shaka kazi wanazozifanya iga mifano msipoteze muda Fanya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kama Raisi Magufuli na CCM hawataki mfumo wa vyama vingi nchini waseme wazi badala ya kufanya hujuma

    Si kweli kwamba viongozi WA upinzani hawatendewi haki suala ni kwamba haimanishi kwamba kuwa mpinzani usifate utaratibu hapana serikali haiwezi kusita kumchukulia mtu hatua kwamba yeye ni mpinzani kama amekosea sheria lazima ichukue mkondo wake lakini pia nashangaa kwa yule anayesema Mheshimiwa...
Back
Top Bottom