Recent content by Mwita toye

  1. M

    Nape: CHADEMA wana Kifafa cha Kisiasa! Awafananisha na nguruwe...

    Moja ya wanasiasa ambao ni wajinga na hawana hoja ndan ya ccm ni pamoja na Nape huyo ni kimeo hawez kujilinganisha na Lissu
  2. M

    Baada ya mahojiano: Makosa yaliyomnyima Lema dhamana ni haya, kwa mujibu wa Mwanasheria wake

    Mwenyezi mungu amsaidie lema hata mandela alipata manyanyaso hayo hayo mungu yu pamoja nawe tusali Baba yetu uliyembinguni
  3. M

    Mke wangu kachachamaa anataka tuachane!

    Kwani nani alikwambia bila yeye dunia haikwendei sawaTegelezeni;6197986]Eti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari. Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka mtu kumrithi mke wa ndugu...
  4. M

    Tundu Lissu azungumzia adhabu ya siku 5

    Toeni ufafanuz kama wana jf
  5. M

    Tundu Lissu azungumzia adhabu ya siku 5

    Anaweza kuwaomba watanzania ladhi endapo kuna kosa lakin kama unaweza kuomba kuhusu utaratibu na likaonekana ni kosa je peter selukamba atawambiaje wapiga kura wake
  6. M

    Ama kweli Lissu kakomaa kisheria AG ameishiwa pumzi

    Tundu Lissu kamuonyesha AG kwamba lugha ya kiswahili anaijua ipasavyo na ilikuwa siyo rahisi kumbana Lema kwa ukweli aliyouzumza.
  7. M

    Wassira ndani ya Dk 45 ITV: Aongelea Udini, utekaji waandishi n.k

    Kwa kuwa mawaziri kama wasira bado wana uchu wa madalaka huwa mtu kama yeye anaangalia masilah yake lakin siyo ukweli wa mambo ulivyo na hata katiba ya Tanzania kama sheria mama ya nchi aielezi kwamba mwislam ndo achinje je yeye haya maneno aliyatoa wapi au ndo kumfurahisha bwana mkubwa kwa kuwa...
  8. M

    Tweet ya CCM yenye Kingereza Kibovu iliyogeuka Kichekesho Kenya!

    Ndo kawaida yao lakin hawajijui kama hawajui wanapenda kukimbilia kusuluhisha siasa za wakenya huku za kwao zimewashinda
  9. M

    March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    Asante kwa taarifa endelea kuleta lipoti
  10. M

    Bunge lajigeuka: Tutaendelea kurusha 'LIVE' vikao vya Bunge...

    Nimekukubali kuwa we nae ulishayaona pj na j kuwa ni mabwege yaliyokubuhu hawa walitakiwa kuimba taarabu utangazaji siyo fan yao
  11. M

    Zitto Kabwe: Anne Makinda adhibitiwe, nchi yetu itaumia

    Kwa hoja hz za zitto makinda lazima atoke kwenye hicho kiti cha uspka
  12. M

    Baada ya kupokewa na bendera CHADEMA, Mwigulu amwaga matusi ya nguoni!

    Na tuelewe ya kwamba viongoz wa ccm hawana hoja ila wao hoja zao ni matusi tu
  13. M

    Baada ya kupokewa na bendera CHADEMA, Mwigulu amwaga matusi ya nguoni!

    Mi binafs lazima mwigulu nimuone kama punguani kama mpaka muda huu hajaelewa upepo wa liccm haupo mbona hana akili yeye asubiri muda ndo utamshitu kama haelewi
  14. M

    Mangula na viongozi wenzake wa CCM wazomewa katika mkutano wa hadhara iringa

    Kuna watu akili zao ni mgando kama cement iliyolowana wao huzani kwamba ccm haiwezi kutoka madarakan rejea tawala za miaka mingi kama Iran ambayo ilikuwa na utawala wa kifalme kwa miaka 2000 lakin ulitoka madarakan kama haujui mambo dunian kher ujiondoe kwenye jf
  15. M

    hakuna tena ugumba wala utasa duniani

    Hatua za kisayansi ni kubwa na madaktar pekee ndo wanaweza kukomenti haya matokeo
Back
Top Bottom