Recent content by mwisho wa reli

  1. M

    JamiiForums Tanzania BVR Kit Operators na Waandishi Wasaidizi

    wewe usijidanganye eti kesho ni public holiday, jina langu lipo na nimeambiwa kwa utaratibu zaidi niende kesho
  2. M

    JamiiForums Tanzania Usaili BVR Kinondoni

    ambae hana cheti ila anajua kutumia computer inakuwaje hapo mkuu? au anarudishwa kabisa?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uandikishaji wa BVR kwa mkoa wa Dar es Salaam

    wapo watakao lipwa 15,000/= kwa siku na wengine 25,000/= kwa siku kulingana na kiwango cha elimu yako
  4. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya usaili NRFA/UTUMISHI

    vipi kwa wale walio sahau number zao wadau? kuna sehemu wanabandika majina?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya usaili NRFA/UTUMISHI

    vipi kwa wale walio sahau namber zao wadqu? kuna sehemu wanabandika majina?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

    Wadau, Mimi nimekuwa na mahusiano na wasichana wanene na ninawapenda mno kuliko wembamba. Lakini sielewi kwanini wa wengi wanapenda wasichana wembamba. Jamani anayefahamu naomba anifahamishe yupi mtamu zaidi, naomba mwenye experience na wadada wembamba ndio ajibu, wewe kama hujui pita kimya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vipi kuhusu kuapply online

    mkuu mm nimepata kazi kupita zoom na sasa nina miezi mitatu, ninafanya kazi peacock hotel. asikudanganye mtu wewe tuma bila kuchoka kwani hata za kutuma posta au kupeleka direct tumeshapeleka nyingi na hatukujibiwa. so wewe appy tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye interview bot; post-note counter

    Ndugu wapendwe hivi BOT wameshaita watu kufanya interview kwenye zile nafazi za note counter? kwa anae fahamu naomba anifahamishe
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kijeshi kumuondoa Rais wa Burundi madarakani

    mmmh mmmh
Back
Top Bottom