Kama mtu amehukumiwa kulipa fedha alizo iba... Kwa muda wa sku 30...je endapo hajafanikiwa kupata hzo fedha...anaweza kwenda kuomba kuongezewa muda tena...na hakimu anaruhusiwa kumpa muda bila mlalamikaji kuwepo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana... Je kuna umuhimu wa mm kujua mali anazomiliki ili kujiandaa endapo hatalipa. Hiyo hela.. Ili ninavyopeleka ombi niwe najua uhalali wa mali zake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa na kesi mahakama ya mwanzo...mtuhumiwa alihukumiwa kulipa fedha alizoiba ndani ya siku 30. Yani kutoka tar 31/01/2019 hadi mnamo tr 3 mwezi wa tatu...swali langu je asipotekeleza hilo nn huwa kinafuata? Na je nini matokeo ya mlalamikaji? Pia nfanye maandalizi gani kabla kuisha kwa muda...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.