Search results

  1. MWINUKAOSCAR

    Ni wakati gani katika kesi nafasi ya mdhamini huisha?

    OK...mana mtuhumiwa ametoroka. Na alihukumiwa kulipa so hajalipa na kutoroka...
  2. MWINUKAOSCAR

    Ni wakati gani katika kesi nafasi ya mdhamini huisha?

    Ni muda gani nafasi ya mdhamini huishia? Baada ya hukumu au baada ya kumaliza kabisa malipo anayodaiwa mtuhumiwa?
  3. MWINUKAOSCAR

    Nursery school

    Wadau naomba msaada wa. Mawazo .nataka kufungua nursery school...je mahtaji muhimu ya ndani ni yepi? Nataka iwe standard
  4. MWINUKAOSCAR

    Civics QN...write true or false for this question.

    Why true and why false? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. MWINUKAOSCAR

    Civics QN...write true or false for this question.

    National symbols are signs which represent Tanzania nation ....... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. MWINUKAOSCAR

    Swali....,

    Kama mtu amehukumiwa kulipa fedha alizo iba... Kwa muda wa sku 30...je endapo hajafanikiwa kupata hzo fedha...anaweza kwenda kuomba kuongezewa muda tena...na hakimu anaruhusiwa kumpa muda bila mlalamikaji kuwepo? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. MWINUKAOSCAR

    Dola moja 2400! Magufuli aondoke aachie ngazi hana faida kwa watanzania

    Sijui petrol itakuwa bei gani mwezi ujao Sent using Jamii Forums mobile app
  8. MWINUKAOSCAR

    Kuoa zaid ya mke mmoja

    Katika sheria za nchi zetu...je ipo sheria inayomzuia mwanaume kuoa wake zaid ya mmmoja? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. MWINUKAOSCAR

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Je kuna matokeo gani mwezi unapoizunguka dunia? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. MWINUKAOSCAR

    Wanatafutwa wafuatao

    Shule shule shule..... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. MWINUKAOSCAR

    Ushauri bure kwa Kesi yoyote ya Madai au Jinai

    Asante sana... Je kuna umuhimu wa mm kujua mali anazomiliki ili kujiandaa endapo hatalipa. Hiyo hela.. Ili ninavyopeleka ombi niwe najua uhalali wa mali zake? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. MWINUKAOSCAR

    Ushauri bure kwa Kesi yoyote ya Madai au Jinai

    Nilikuwa na kesi mahakama ya mwanzo...mtuhumiwa alihukumiwa kulipa fedha alizoiba ndani ya siku 30. Yani kutoka tar 31/01/2019 hadi mnamo tr 3 mwezi wa tatu...swali langu je asipotekeleza hilo nn huwa kinafuata? Na je nini matokeo ya mlalamikaji? Pia nfanye maandalizi gani kabla kuisha kwa muda...
  13. MWINUKAOSCAR

    Naomba msada wa kisheria.

    Nilikuwa na kesi mahakama ya mwanzo...mtuhumiwa alihukumiwa kulipa fedha alizoiba ndani ya siku 30. Yani kutoka tar 31/01/2019 hadi mnamo tr 3 mwezi wa tatu...swali langu je asipotekeleza hilo nn huwa kinafuata? Na je nini matokeo ya mlalamikaji? Pia nfanye maandalizi gani kabla kuisha kwa muda...
  14. MWINUKAOSCAR

    Tangazoooooo

    Kwa wanajamii forum wote Sent using Jamii Forums mobile app
  15. MWINUKAOSCAR

    NAONA SIJIBIWI HILI SWALA LANGU

    Asante...nilifkr kuna miongozo ya kisheria...mana huko nmeandika barua hadi nimechoka...wanadai nisubr mwaka wa tatu huu
  16. MWINUKAOSCAR

    The Law School of Tanzania - Maswali na majibu

    habari...., niliwahi fanya kazi ktk shule moja ya binafsi. Wakaja watu wa NSSF wakatusajiri ktk mfuko huo wa nssf. Mwaka 2011, makato yalikuwa aslimia 10 ya mshahara wangu.mwaka 2015 nikapata ajira serikalini hadi sasa. Makato bado nakatwa asilimia kumi na mkurugenzi anapeleka aslmia, 10...
  17. MWINUKAOSCAR

  18. MWINUKAOSCAR

    MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII

    habari...., niliwahi fanya kazi ktk shule moja ya binafsi. Wakaja watu wa NSSF wakatusajiri ktk mfuko huo wa nssf. Mwaka 2011, makato yalikuwa aslimia 10 ya mshahara wangu.mwaka 2015 nikapata ajira serikalini hadi sasa. Makato bado nakatwa asilimia kumi na mkurugenzi anapeleka aslmia, 10...
  19. MWINUKAOSCAR

    MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII.

    Nahtaji msada wa kisheria
  20. MWINUKAOSCAR

    Msaada: Sina mkataba wa kazi lakini naambiwa natakiwa kulipa kodi

    Mm siyo mwanasheria..lkn hyo aslmia 20% ni mwongo. Na mifuko ya jamii unakatwa % ngap?
Back
Top Bottom