Hii post ilianzishwa Mei 20. Mtu huyu alikuwa anazungumza jambo kwa muono wa mbali, maana hata Chaumma ilikuwa haijaanza kazi.
Sasa baada ya miezi miwili tu ya Operesheni chaumma4change unaweza kufanya tathmini ya hoja yake.
Aliona kile ambacho wenzake hawakuona. Baada ya uchaguzi, CHAUMMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.