Hapo Gwajima ndio pekee anastahili, kama mtabadilisha list basi hakikisha yumo. Huyu peke yake ndio ametuhakikisha pasina shaka kwamba akili zake hajamkabidhi mtu.
Kama kuna jambo la kuheshimu kwa huyu mtu ni uwezo wa kusimamia jambo analoamini lina maslahi mapana kwa taifa. Gwajima ana namna...
Mbunge wa Jimbo la Kawe na mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi Askofu Gwajima leo tarehe 22 Februari 2024 amekabidhi ambulance kwenye kituo cha afya Kawe Ukwamani Dar es Salaam.
Akikabidhi gari hiyo ikiwa ni utimizaji wa ahadi yake kwa wananchi wa Kawe, Askofu Gwajima amesema...
Siku ya Jumamosi ya tarehe 21 iliandikwa historia ya kunyesha mvua isiyo ya kawaida iliyosababisha maafa makubwa sana. Pamoja na maeneo mengine, jimbo la Kawe liliguswa vibaya sana na mvua hizi.
Madaraja mengi yalikatika, nyumba ziliondoka na kukabaki misingi tu. Magari na samani nyingi...
Umeandika upupu aisee. Kwamba sentensi zako za kuungaunga sisi tuziamini. Vijana mnauza utu kwa vocha za tigo. Naona mnaanza kutapatapa, hilo jimbo huingii kwa sentensi za JF
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.