Namshukuru Mungu alinisaidia katika ujana wangu na misimamo yangu alinipa mme mwema sikua naogopa umri hata kidogo na nilitaka mwenyewe niolewe when am on my 30s na ikawa hivo namshukuru Mungu.
Dada yangu kama utaona umri umekutupa mkono kiasi hicho ndo ufanye maamuzi ya kutokumpendeza Mungu si sahihi.Kama anaweza kutoa mahari why asifanye harusi hata ya kimila kwanza home kawaida then badae mwende sijui msikitini au kanisani.Huyo mume mi naona sio watoto wawili bado anasema mama...
Endeleeni kupokea mpaka leo badala ya kusoma biblia kwnzia mwanzo mpk ufunuo mnasubiri kutafuniwa na meno yapo penda kumjua Mungu zaidi kwa kusoma neno ili msitetereke huyo ni mwanadam tu hivyo usikubali kuongozwa na mwanadam mwache Mungu akuongoze.Wakatolik kuna vitu vingi sana vya kuhoji...
Mungu uhukumu kwa haki na mawazo yake si kama yetu biblia inaniambia Yesu hatarudi mpak kila mtu asikie injili and as am speaking injil zishafika huko na watu wanahubir na kuna some churches maana Yesu alipofufuka aliacha agizo kwamba enendeni ulimwenguni mwote mkahubiri injil so injil lazima...
acha kushuhudia uongo ndugu ulishawai ona mtu anapelekwa police kisa zaka?Zaka unahubiriwa kama mfundisho mengine kisha unaamua kutoa au kuacha wabaili hua hawatoagi ndio mana malaki 3;8-12 inawaita wezi kama wezi wengine tu.
mkuu mimi simuokokei mtu naishi maisha qmbayo biblia inaniambia niishi na ndio maana nainjoy siishi maisha ya mtu.sipendi kuwanyooshea vidole watumishi maana wao ni watu pia wana maisha yao na tabia zao na kamwe usipende kuish maisha kama ya fulani ishi kama kristo alisema jitieni nira yangu...
Du nna mengi lakini kubwa kuliko yote katika hii dunia ilojaa uovu ni bora kuokoka na kumtudia Mungu maana haya maisha hayana maana lakin kuishi ni kristo na kufa ni faida.Sijutii kumjua Mungu na aliye nipa wa kufanana nami na mwenye hofu ya Mungu hivyo YESU NDIO JIBU LA MAISHA.Dunia inapita na...
SOMO LA SADAKA: SEHEMU YA KWANZA
Sadaka ni kitendo la rohoni kwanza kwani tunatoa kwa imani. Kumbuka imani chanzo chake ni kusikia na kusikia huja kwa neno la Kristo (Warumi 10:17). Imani ni kuwa na uhakika na mambo yatarajiayo (Waebrania 11:1). Kwa hiyo ili uwe na uhakika katika utoaji sadaka...
Kasome malaki 3: 7-12 kama unampenda Mungu hutahoji tena na hulazimishwi pia amua mwenyewe hutaki acha kamwe usidhubutu kumsema mtumishi vibaya kwa ajili ya sadaka yako.[zaburi 105 :15]
Hakika ni jambo la kumshukuru Bwana kwa kila jema alitendalo katika maisha yetu hii ni kuonyesha kwamba yeye ni Mungu wa haki na aonaye sirini na vilevile anakusudi na maisha yetu katika kila jambo analolifanya hivyo basi hatuna budi kumshukuru katika hali zote na tusisahau pia kutimiza nadhiri...
Kabisa ndugu Mungu ni PENDO na ndio maana alisema tupendane maana ukimpenda mwenzio lazima umthamini na ndio maana alisema ni amri kuu hii inafunika zote .N kwa asili Mungu yeye ni mnyenyekevu wa moyo na ndio maana alisema tujifunze kwake katika kitabu cha mathayo 11:29 (Jitieni nira yangu...
Hakika tunapaswa kumkabidhi bwana njia zetu kila iitwapo leo maana hatujui nini kiko mbele yetu.Lazima maisha tuishi maiisha ya kumpendeza Mungu ili ashughulike na mambo yako maana shetani utakuta anatuwazia mabaya siku zote na anaweza sababisha kitu tu ili ampate anayemtaka mahali...
Kabisa ubarikiwe ndugu nilikua nangoja kupata mana ya hivyo vitu ili nijue naongea nini kweli kama ni hivyo anavyovitafuta ni kama anajitafutia shida hayo makitu sio mazuri kwetu kwa kweli japo watu wanajifariji nayo lakini Mungu ndio mweza wa kila kitu tena ukimpenda na ukamshika hakuna haja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.