kweli dom wana upload haya majina manake kitambo kweli website yao haifunguki mpaka saiv, mi mwenyewe ni miongoni mwa wale ambao na hawajapata admission letter nina subiri kwa hamu
yaani mpaka sasa kuna majina ambayo hayajawekwa kwenye tovuti yao na ndio maana wanafunzi kibao ambao waliochaguliwa UDOM hawawezi kulog in, hivi ict yao ndio tuseme haipo active kwa wanafunzi hawa waliochaguliwa na tcu lkn mwenye tovuti yao haipo inawezekana na mikopo wasipate hawa wanafunzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.