Recent content by mwimbile

  1. mwimbile

    Kuna kitu hakipo sawa makanisani, ni muda wa wakristo kuamka na kuhoji

    Hivi wanakatwaga VAT kweli? nina miaka 3 sijasali kanisa katholiki ndiyo kanisa langu .... na nikidanchi wasipo nizika kwa ibada waniache hapohapo niwanukie
  2. mwimbile

    Jamani anzeni kuhifadhi chakula ndani WW3 is coming

    Wanunue P2, Misso, Condom na Flex P za kutosha lazivyo watazaana sana watu Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
  3. mwimbile

    Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) chamsimamisha Mhadhiri kwa tuhuma za ngono

    Mbona ma lecture wengi ni madomo zege ...huponea kwa vidada ambavyo havijielewi kwa kushikwa sup tu kamevua ngua. Harafu hao malecture tabia zao utaona kwenye milango ya ofisi zao ... Tangazo Muda wa consultation ni kuanzia saa 13:00 PM mpaka saa 18:00 sasa fatilia hiyo consultation wanakuwa...
  4. mwimbile

    Tumetoka mbali sana, tumshukuru Mungu. Wengi hawakujionea kwa macho

    Hili la Jiwe la Fatuma ndiyo lina nikela mpaka leo....hivi wale jamaa waliokuwa wanafanya wizi wa namna hii kiumri sasa hivi ni watakuwa wamezeeka sana ingawa ujuzi wanao bado ..... Sasa kwanini mseme kijiji bila wazee ni fujo ? Mimi ndiyo maana wazee wasikuhizi siwaamini maana ndiyo walikuwa...
  5. mwimbile

    Abiria unachelewaje Ndege (check-in) Airport?

    Lazima uchelewe kwasababu unapoenda kupanda ndege lazima upige mweche kidogo hata 2 tu....sasa kausingizi kake kanakuwa katamu
  6. mwimbile

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Harafu voda com ....nimekuwa nikifatilia salio kwenye simu yangu nikiweka salio mfano 2000 harafu nikatuma sms 1 baada ya siku mbili nikiangalia tena salio na kuta limebaki 4.51 haya ni mambo ya ajabu kabisa......sasa hivi naanza kutembea na daily na record kila nitapo weka salio na baada ya...
  7. mwimbile

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Voda com ...mtandao wenu ni wakidua sana ...aiwezekani mteja ana emegency anawapigia simu harafu mnaweka ki voice note cha kipuuzi ....eti "Kwa kingereza bonya 1 kwa kwa huduma nyingine za kiswahili subiri"harafu ukisubiri " mnajibu tumeshindwa kutambua chaguo lako" huu si upuuzi kabisa...
  8. mwimbile

    Joto mpaka lifike degree ngapi ndiyo itangazwe kwamba ni janga

    Na nguvu za kiume si ndiyo zinadhidi kupukutika? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mwimbile

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom now nawashitaki mahakamani kwanini umeniibia salio langu LA simu Mara kadhaa Kwa kuniunga kwenye huduka ambazo sijawahi hata kufikiri kurequest nizitumie? Kama huu ushuzi mlio anzisha uitwao UNSUB? Hakika mmezoea sasa tutakutana mahakamani Kwa fidia ....nimechoka na usumbufu huu Vyuma...
  10. mwimbile

    Wanaume wenzangu hii siri nyingine leo Nawapa!

    KAMSHAURI KUKU ....SIYE TWALA VYETU KAMA UMEGONGEA LIA TUU
  11. mwimbile

    Tahadhari ukienda kununua gari show room kuwa makini sana

    Hii show room ipo mtoni kwa Aziz ally kwenye Ofisi za CCM Jirani na shell ya mafuta Oil Com..ukiwa unatoka mbagala ipo upande wa kushoto kwenye kituo cha Dalala za Tandika kabla hujafika roundabauti ya kwenda tandika,uhasibu,na kuingia sokoni kwa kabume......kama unatokea Tandika hiyo show room...
  12. mwimbile

    Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

    Ngoma hiyo ajiombee mwenyewe yeye si mchungaji[emoji289][emoji289][emoji289][emoji289] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom