Recent content by MWILIMA EMMANUEL

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jesca Kishoa: Mwigulu Nchemba ametuaibisha wanyiramba na wana Singida wote

    Mtu ninaye mheshimu sana hasa kwa kutoa michango mizuri katika majanga makubwa ya kitaifa na kimataifa. Sikutegemea kama angesema kama alivyosema. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona katika Nchi ya Seychelles kimenifurahisha sana

    Hata hapa kwetu ukiwakuta wanakunywa na wew ukijumuika nao ukanywa hawana shida. Hata ukiwakuta usiku wako patroo ukiwaomba wakupeleke sem fulan una wasiwasi utakabwa wanakupeleka au wanakutafutia usafiri wa kukupeleka. Mi sion kama ni jambo geni kwetu hayo yapo sana. Mapolisi tunakunywa nao...
  3. M

    JamiiForums Tanzania COVID-19 yapoozesha sikukuu ya Pasaka

    Lakini mkuu wetu wa mkoa alishatuambia tusijifungue ndani tutoke tukajenge uchumi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya wanafunzi yapewa kibali cha kuwa Daladala kwa muda wa miezi mitatu kukabili uhaba wa usafiri uliosababishwa na " level seat"

    Tunashukuru sana serikali kwa kuruhusu magari ya wanafunzi. Lakin bado tunaomba sana sana waruhusu coast na noa na magari ya watu binafsi yabebe watu. Shida ni kubwa sana. Watu wanakaa kituon mda mref sana na wengingine wanapigania na kusababisha mgusano mkubwa sana. Serikalo iliangalie...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

    Kama ndio hivyo wanawaza, bac Mungu awasamehe. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe sasa rasmi CCM. Huenda akaomba nafasi yoyote 2020 kupitia chama hicho

    Kakobe ana maovu gan jamani?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe sasa rasmi CCM. Huenda akaomba nafasi yoyote 2020 kupitia chama hicho

    Hiyo sio sababu ya askofu kakobe kubadilika. Namfahamu askofu kakobe alikuwa ni mtu mwenye msimamo mno.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe sasa rasmi CCM. Huenda akaomba nafasi yoyote 2020 kupitia chama hicho

    Kwani Askofu kakobe ana makandokando gani Jamani mpaka afikie hatua ya kumwacha Mungu yani kuacha kuwa na hofu ya Mungu na kuwa na hofu na wanadamu?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe ni Mzigo, mtoe haraka vinginevyo abadilike

    Jamani mbona hata ofisi hajaijua vizuri mmeanza kusema hafai? We mbona unaonyesha una chuki na wiv ? Mwacha mtu afanye kazi angalau kwa mwaka mmoja ndio umzungumzie.
Back
Top Bottom